Brief Report on Tanzania from Dutch Bank (Contrasted)

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,579
5,375
Utaipata hapa (http://www.dbresearch.com/PROD/DBR_...04F62DC88E5F322825033141DA9.srv-loc-dbr-com):

Key strengths
  1. Broad political stability. President Kikwete and his ruling CCM party will remain the dominant political force. No significant threat to political stability is expected even if internal divisions are likely to grow in the run-up to the 2015 elections.
  2. Robust economic growth. Expected at around 7% in 2012 and 2013, real GDP growth could rise even more afterwards if large projects take off in the gas sector. A sustained improvement in growth in the agricultural sector would be required to drive Tanzania’s development forward; ongoing commercial investment into the sector makes it possible. Poor energy and transport infrastructure will keep growth below potential but public investments in these two sectors are increasing. The importance of mining in the economy is growing – currently driven by gold production, expected to be overtaken by hydrocarbons by 2015-16. The shilling is expected to remain fairly stable as inflation moderates and monetary policy stays tight.

Key weaknesses
  1. Increased external debt. External debt has risen in USD terms, as the government continues to borrow to finance a large fiscal deficit and an ambitious development programme - mostly from multilateral lenders. The external debt ratio to exports is high and has significantly increased. The ratio of debt to GDP, in contrast, is fairly low at 37% of GDP.
  2. High fiscal deficit. Fiscal discipline has slipped in recent years. The deficit is forecast at 6.3% of GDP in 2012/13. Curtailing recurrent spending and expanding the domestic revenue base, partly by scaling back tax exemptions, may lead to a reduction of the deficit in 2014/15.
  3. Large current account deficit. The current account deficit is very large, forecast at around 10.5% of GDP in 2012-2013, and FDI coverage is low. The trade deficit is high and may widen again in 2013 as import growth picks up on the back of strong demand for capital goods. External accounts are vulnerable to drought: since Tanzania remains dependent on hydroelectric power, low water levels drive an increase in fuel imports, which typically make up around 20%-30% of total imports.
  4. High inflation. Inflation remains in double-digits (forecast to average 15.3% in 2012), although after increasing sharply in the latter half of 2011 (largely driven by food and fuel prices), it has moderated since the start of 2012 and may continue to decline in 2013.

Nahisi hata katika hizo strength mbili zilizo tajwa kuna moja ambayo imeanza kucheza.
 
ha ha ha, imecheza strategically
sasa wakizubaa tutabaki na strength moja tu

jamani, madeni makubwa wanayafanyia nini? Sioni hizo major projects.
 
Huwa najiuliza report kama izo lengo lake ni nini hasa maana inaonekana imefanywa na bank ya nje!
Au wana mpango wa kuyaanika mautajiri yetu waje kwapua vyema
Maana ingekuwa imf na wb ningesema ni global organs kufanya compilation iyo for what?
 
check na economic watch, ambo ni yaleyale mapambo mengi....huku bongo tunalia
 
Huwa najiuliza report kama izo lengo lake ni nini hasa maana inaonekana imefanywa na bank ya nje!
Au wana mpango wa kuyaanika mautajiri yetu waje kwapua vyema
Maana ingekuwa imf na wb ningesema ni global organs kufanya compilation iyo for what?

Probably for their clients to understand the economic climate of the country.
 
ha ha ha, imecheza strategically
sasa wakizubaa tutabaki na strength moja tu

jamani, madeni makubwa wanayafanyia nini? Sioni hizo major projects.

Na kusema ukweli there is no robust economic growth ikiwa hakuta kua na political stability. Vinaenda pamoja.
 
Tungekuwa na viongozi jasiri mahera ya uswizi yote yatumike kulipa madeni yetu ya nje
 
Hawa jamaa wanatupamba kwa sababu wameshatuona ni vilaza. Tunaibiwa sana rasilimali zetu kwenye utalii na madini. Sisi tunajivunia na kutangaza 'amani na utulivu' ambavyo nina mashaka navyo sasa. Ukiondondoa dhahabu na tanzanite zinavyofaidisha kampuni za nje, hebu angalieni kwenye utalii; wawekezaji wanapata kiasi gani na wantulipa nini. mfano air ballons katika serengeti na hoteli za kitalii. haya ni mambio ambayo tungeweza kufanya wenyewe lakini naona tuna ugonjwa wa kuppenda kufanyiwa halafu tutake kodi ambayo kwa maoni yangu ni kiduchu.:majani7:
 
Huwa najiuliza report kama izo lengo lake ni nini hasa maana inaonekana imefanywa na bank ya nje!
Au wana mpango wa kuyaanika mautajiri yetu waje kwapua vyema
Maana ingekuwa imf na wb ningesema ni global organs kufanya compilation iyo for what?

maana ya ripoti hizi ni moja tu: JIPANGE.
 
Hii inanikumbusha Misaada ya inchi wahisani
wadhamini ujenzi wa barabara kama 300km alafu sharti ni kuwa mkandarasi lazima atoke kwao
Which means ela 50% inarudi kwao na on top of that wanakuwa wamecreate ajira kwao hii hutumika sana na wachina CCC,SIETCO,ETC
Hawa waholanzi mpaka wafanye utafiti they must have spotted the fattest buffalo thus getting ready for hunting
 
Hii ni sawa na ile report iliyo wazungusha wazungu city centre, then wakatoa report kwamba Dsm in general ndio jiji safi kupita yote ukanda wa africa mashariki! Tatizo naloliona hapo ni accuracy ya data zinazotumiwa hapo kenye hiyo tathmini hasa upande wa strength!
 
ha ha ha, imecheza strategically
sasa wakizubaa tutabaki na strength moja tu

jamani, madeni makubwa wanayafanyia nini? Sioni hizo major projects.

madeni makubwa yanatokana na kujenga miradi ileile mndani ya muda mfupi. mfano morogoro road from ubungo tMbezi nakuendelea imejengwa kwa kutumia mabilioni mwanzoni mwa mwaka 2000 hata miaka 12 haijapita yamekopwa mabillioni na kuifumua barabara ili kujenga mpya. je mwaka 2000 tusinge plan hiyo barabara kwa matumizi ya zaidi ya miaka hamsini?
 
Roulett binafsi ninachokishangaa ni hivi inakuwaje mtu unakopa tu unakopa tu unakopa tu???? je hakuna limit ya mkopo hadi ionekane kwamba sas this is enough? ni kwann wasi evaluate kazi zilizofana na mchukua mkopo? mbona siye tukienda benk huwa wanakuja kutuevaluate?

jamani labda wale wanaofanya biashara kama mm watasema, ukikopa ama saccos ama vicoba ama pride benki unatumiwa afisa mikopo aje akukahue kama kweli unachokitu cha kukufanya ukope na huwa wana monitor hiyo biashara hadi umalize mkopo ikiwa ni pamoja na kukushauri kitaalam. huwez kukopa leo nmb kesho ukaenda barcklays ku top up kesho kutwa ukaenda tena acb ni wazi kwamba utakuwa umefikia kiwango cha kutokopesheka tu.

haya inapotokea umekwenda ku-top up ni wazi kwamba mkopeshaji atakuekea returns za muda mrefu kitu ambacho unakuta mtu ulikopeshwa kwa miaka 4 ukija kwa naye ku -to up anakukopehsa kwa miaka 6 matokeo yake unalipa mara 2 ama 3 ya mkopo halisi. sasa kama sisi wananchi hizi theories tunazo na huwa tunajilind sana na mikopo ya aina hii sijui kwann nchi kama nchi yenye achumi wanaendekeza kukopa kwa stail hii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom