BREKING NYUUUUZZZZZ: memphis grizzlies yamuuza hasheem thabeet, atua houston rockets

Mallaba

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
2,554
47
Habari ambazo zimetufikia muda si mrefu uliopita zinapasha kwamba mtanzania wa kwanza kucheza katika ligi ya NBA,Hasheem Thabeet (pichani) aliyekuwa akichezea timu ya Memphis Grizzlies, ameuzwa kwenda timu ya Houston Rockets ya jijini Houston,Texas katika mabadilishano maalumu baina ya timu hizo mbili.

Katika mabadilishano hayo,mchezaji Shane Battier aliyekuwa akichezea timu anayokwenda Hasheem(Houston Rockets) anajiunga na Memphis Grizzlies.

Hasheem ambaye maendeleo yake katika ligi hiyo ya NBA yamekuwa hayaridhishi,anakwenda Houston mji ambao unaaminika kuwa na watanzania wengi zaidi nchini Marekani kuliko mahali pengine.
 
Player Page


Roster

Chase Budinger (G/F) Chuck Hayes (F/C) Courtney Lee (G/F) Brad Miller (C) Luis Scola (F/C) DeMarre Carroll (F) Jordan Hill (F/C) Kyle Lowry (G) Yao Ming (C) Hasheem Thabeet (C) Goran Dragic (G) Jared Jeffries (G/F) Kevin Martin (G) Patrick Patterson (F) Terrence Williams (G/F)
Close | Full Depth Charts

1603.jpg

Hasheem Thabeet | Center


Team: Houston RocketsHt / Wt: 7'3' / 267Age / DOB: (24) / 2/16/1987College: ConnecticutContract: view contract details [x]
2009/10: $4,458,840, 2010/11: $4,793,280, 2011/12: $5,127,720 (Team Option), 2012/13: $6,471,182 (Team Option), 2013/14: $8,444,892 (Restricted Free Agent)

Share: Tweet


Hasheem Thabeet to play for Rockets

Hasheem Thabeet is taking his talents to the Rockets after the Grizzlies traded him for Shane Battier.
The Rockets need a center and Thabeet was the No. 2 pick in the draft a couple years ago. Yes, he's still a big-time bust candidate, but he no longer has Marc Gasol in front of him, and also has a couple years under his belt. Chuck Hayes is still the starter for now, but if Thabeet is really NBA material, we're about to see what he can do. Keep a close eye on him and consider grabbing him if you need a deep-league center
 
Mkuu Mallaba mbona w2 wanahabari hii toka last week na ilijadiliwa sana hapa jamvini,laki thx kwa kutuletea habari hii kwa mala ya pili
 
si mbaya mkuu, si unajua tena humu jamvini ukikosa siku moja tu unapitwa na mengi sana
sikuiona hiyo mkuu
Mkuu Mallaba mbona w2 wanahabari hii toka last week na ilijadiliwa sana hapa jamvini,laki thx kwa kutuletea habari hii kwa mala ya pili
 
huko ndo Manzese basi sipati picha na supestaa wa kibongo,ila hajauzwa kabadilishwa kama kitenge:rain:
 
Back
Top Bottom