Breeking newz kuhusu loan board hasa kwa wale wa udsm

Mfukunyuzi

Senior Member
May 30, 2012
125
9
kama ambavyo mliweza kuona kwenye selection za udsm mbele ya matokeo ya o level waliindicate herufi A_K hzo ndo loan distribution ina maana kama wamekuandikia A ujue umelamba 100 B_90 C-80, D-70,E-60,F_50,G_40,H_30,I-20,J-10,K-0 co kwa wale wa udsm mshajua mmelamba ngapi
 
Back
Top Bottom