Breastfeed in Style!!!By Mamas & Totos!

sweetdada

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
517
169
Hi Ladies,

Mamas & Totos inayofuraha kukuletea New Collection ya nursing scarf

Zinapatikana katika style na rangi tofauti . Ni kwa ajili ya wamama/wadada wanaonyonyesha ukitaka kwenda na wakati pale unapokuwa in public shurti utumie nursing scarf na si khanga. Mwambie na rafiki yako pia aende na wakati. Breastfeed in Style.

Mamas & Totos nursing scarf zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu thelathini tu (Tsh. 30,000).

Call now to make your order 0785 997700, you order, we deliver.



Hurry stock is limited.


mamastotoz.jpg
 
Kwa maelezo zaidi kachungulieni avatar ya Kongosho,kuna li scarf la ukweli pale,chezeiya konnie wakati ananyonyesha!
 
Last edited by a moderator:
Siwezi kutoka nayo Out hata kama sina mtoto,
Maana imekaa kimtoko.
Lol!

Lol!unaweza mamito, unavaa top yako ya sleeveless afu juu unatupia na hiyo,chini skinny jeans au jeggings zako,unatoka mwaaaaaa
 
Lol!unaweza mamito, unavaa top yako ya sleeveless afu juu unatupia na hiyo,chini skinny jeans au jeggings zako,unatoka mwaaaaaa

Teeeenyaaaa...!!!
Poa mamito,ngoja niagize kabla Stock haijaisha.
 
kazi kwenu mnaonyonyesha sasa, sisi wenzenu tunaisubiri kwa hamu menopause
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom