Breast Cancer - Itakuwaje Bongo Kina Dada Wakiandamana Wamevaa Vichupi kama SA? Picha

.....WATAKAO DIRIKI KUFANYA HIVYO BONGO NI WALE WATAKAO ONDOA AIBU KWA KUPATA MOJA MOTO MOJA BARIIIIID.
Kazi ipo,MEWATA WANAJITAHIDI WAKISHIRIKIANA NA ITV.
Ingekuwa vp kampeni ya kuhamasisha upimaji VVU kwa hiari ingeanza kwa style hiyo?

Mkuu, Style hii bongo ingekuwa vipi ingekuwa vipi? Hilo ndiyo swali.

Kama bikini za Miss TZ ni nongwa, hizi za barabarani itakuwaje?

Huenda SA waliweza kwa sababu ya mixed culture ndo maana naona watasha wako wengi pia.

Napiga picha wale wakina mama wote na akina dada wote wenye majina makubwa wako ndani ya bikini kisha mitaa ya kariakoo. Kutakuwa na amani?

Mbanano wa kwenye daladala masela uvumilivu unawashinda, huu wa bikini utakuwaje?
 
Watu wanaofanya mambo haya,we must condemn them in public,and congratulate them in private.

Mkuu statemeny yako ina utata kidogo, ungefafanua?

Au unafananisha na mambo ya mjengoni . . . . I mean ile kansa si ya matiti . . . ile ya ufisadi?
 
Ya mtoto wa kike kujisitiri maungo yake. Na kuepuka kuvaa mavazi ya kuchochea tamaa.

Mbona yamejaa tele hapa Bongo au mwezetu huwa unayafumbia macho kwa kuweka mikono usoni ,any way yote tisa kumi ule msemo wa jadi kuwa msichana akiwa na mwanya basi ujuwe (uelewe )na Tanuri linakuwa si lakwaida ,hebu angalia hiyo picha ya pili kutoka juu mkono wa kulia huyo dada mwenye huo mwanya utafikiri mlima wa Kilimanjaro.upss mdomo hauna bureki.
 
Hebu angalia hiyo picha ya pili kutoka juu mkono wa kulia huyo dada mwenye huo mwanya utafikiri mlima wa Kilimanjaro.upss mdomo hauna bureki.

Mkuu Sonara bado somo halijaeleweka; una maana mwanya kama mlima Kilimanjaro ama?
 
Mkuu Sonara bado somo halijaeleweka; una maana mwanya kama mlima Kilimanjaro ama?

Hivi mkuu hujapatapo kusikia kuwa mwanya wa mwanamke mara nyingi unafuatana na umbile ya ile sehemu muhimu :confused: :confused:sikumalizi kwani Madili yenu yananiruhusu kufanya hivyo, niliposema kama mlima wa kilimanjaro nilikuwa na maana ya hiyo sehemu ilivyo vuvumka (mithili ya mkate wa hamuri) kama unauelewa ,any way mkuu naimani utanipata hapo ?kwa kawaida huwa I dont do no rikwesti.
 
Nimekupata sasa . . . . haaa haaa

Mimi nimewahi kusikia urefu wa nafasi kati ya kidole gumba cha mguuni na kinachofuata, ndo huwa kina-correspond au kinakujulisha urefu wa kule kwingine kutakuwa vipi . . . Tee tee tee!

Nadhani hapo mbele ni namna ya mshono wa Bikini tu, ama?
 
Hivi miaka ya karibuni wazungu walikuja na uvumbuzi mwengine wakasema kuwa hayo mambo ya vidole na NK ,hayakuwa ya Uhakika na badala yake wanasema wamechunguza kwa undani wakagunduwa kuwa Puwa ya msichana ndio kigezo chake cha kule Geza ULOLE ,ijapokuwa hiyo ilikuwa kwa wazungu wenziwao sasa kwa sisi wenye rangi za Almasi sijuwi kama ipo hivyo.
 
Nimekupata sasa . . . . haaa haaa

Mimi nimewahi kusikia urefu wa nafasi kati ya kidole gumba cha mguuni na kinachofuata, ndo huwa kina-correspond au kinakujulisha urefu wa kule kwingine kutakuwa vipi . . . Tee tee tee!

Nadhani hapo mbele ni namna ya mshono wa Bikini tu, ama?

Kweli nyani huwa haonagi ...........

Mkuu; Sasa huko mimi siko. Ngoja wenyewe waje wakusome. I am out!

Think of Breast Cancer Only!
 
mkuu ninavyojua hapa Bongo watu walivyo na njaa hiyo parade hata wasingefika mita 100 wangekula mitama na maandamano yangeisha hapo kama chagulaga ya usukumani hahahahaaaaaa!
 
Wengi wao hapa kwenye picha pamoja na kuunga mkono Breast cancer pia inaonekana wapo kwenye shop display window!
Wamekaa mkao wa "look at my body!" Mazee wengi wao wamepigwa pasi makalio kwa hio sio issue bongo, hata hawa wangeandamana Bongo sasa isingekuwa big issue, ila kama wageandamana wale tuliowazoweya akina Joyce wowowo (in bikini) kaka pangekuwa hapatoshi, wakaka wa kibongo tumezoweya mawowowo, hapo ndio ingetokea mfadhaiko kwenda mbele lakini sijui kidole mdomoni! bado haiwezi kusababisha mfadhaiko kwa wapiganaji wa kibongo.
 
daaah hii kitu waifanye na tz.sipati picha ndo wanateremka pale jangwani huku tumepaki pembeni na daladala hahaaaaa.itakuwa nderemo na vifijooo
 
Superman i like them galz. Hebu cheki aliyeweka kidole mdomi alivyoumbika natamani nisizeeke.
Naenda south africa
6568d1258020356-breast-cancer-itakuwaje-bongo-kina-dada-wakiandamana-wamevaa-vichupi-kama-sa-picha-images-04.jpg

This is what exactly going to happen........!
hakuna hata mmoja aliyesema nini kitatokeqa wakiandamana hivi bongo.......
 
Paesulta,tumekuambia wangejaribu hapa bongo tena waende mida karibu ya giza hivi wabongo walivyo na njaa wangewagawana hao kama mpira wa kona hata huo ujumbe wao usingefika hapo picha tu watu wanataka kutoboa screen hasa huyo mweusi mwenye mwanya nyuma ya aliyeweka kidole unamwonaje mkuu alivyojaliwa mzigo? angekatiza kongo kweli na hao dungadunga?
 
Sijui kama utabiri wangu utakuwa sahihi lakini nadhani utahitajika ulinzi wa hali ya juu mno na umakini wa kuchagua barabara zitakazotumika kwa ajili ya maandamano hayo, wasiwasi ni pale maandamano yatakapokuwa yanapita maeneo ya manzese darajani na tiptop, mie simo.
 
Mkuu, nadhani walitumia strategy hiyo kudraw attention ili message ya awareness ifike?

Je bongo inawezekana ikafanyika kwa amani?

Wamekosea sehemu moja, kama ilikuwa ni pamoja na ku-bring attention kwenye masuala ya breast canser, basi wasingevaa shidiria, ingekuwa wamelenga ile mbaya!!!! sasa ile sio breast kampeni bali ni matangazo ya bikin & bra
 
Back
Top Bottom