Breakinking News: Mwandishi wa habari wa Channel Ten auawa na polisi Iringa katika M4C

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Mwandishi wa habari wa Channel ten
mkoani Iringa Daudi Mwangosi afariki
dunia katika vurugu zilizojitokeza baada
ya polisi kuingilia mkutano wa operesheni
mabadiliko m4c ya CHADEMA.
Chanzo ITV
 
Mwandishi wa habari wa Channel ten
mkoani Iringa Daudi Mwangosi afariki
dunia katika vurugu zilizojitokeza baada
ya polisi kuingilia mkutano wa operesheni
mabadiliko m4c ya CHADEMA.
Chanzo ITV

Mode fanyeni kuunganisha hii uzi na ile iliyotangulia!
 
RIP mwandishi. ila mbona kwann ktk hizi vurugu hawafi viongoz.
Viongozi wapo wangapi? na raia wapo wangapi? ni mahesabu rahisi sana ambayo hutakiwi uwe na masters ya hesabu kuelewa hilo.
 
Viongozi wapo wangapi? na raia wapo wangapi? ni mahesabu rahisi sana ambayo hutakiwi uwe na masters ya hesabu kuelewa hilo.

hamna lolote hapo ishu n kwamba hawa jamaa wanatuuza wananch bana.
 
Duh kumpoteza mwangosi pale Iringa ni pigo kubwa sana.
Kweli nimeamini kuwa Polisi wameamua kutumaliza ili nchi hii wabaki wao na mafisadi ili watanue.
 
its about time we sue the police force for use of deadly force!! the picture i am seeing are gruesome! there is noooo way they can justify there actions. in one caption nimeona police watano kicking him! i say we hit the force with an expensive law suit and make IGP tame his dogs. lasivyo hii trend ya watu kupigwa na kuuwawa itaendela!
 
Back
Top Bottom