BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,003
Kwa wale waliokuwa wanaijua atcl enzi hizo habari zilizopatikana wizarani na a kuthibitishwa na baadhi
ya wahusika wa wizara zinasema mh omar nundu amemteua mr chizi mfanyakazi aliekuwa airtanzania enzi hizo
habari zaidi zinasema baada ya kuangalia utashi na uadilifu wake pamoja na kufanya kazi kwa juhudi mh
waziri ameona mh chizi anafaa kuiongoza kampuni hii kama mzawa wapili baada ya aliewkwa mwanzo kuishia kutengenezza nembo ya kampuni ambayo ilimpatia kashfa kubwa..ipi kashfa hii ya nenmbo ilipelekea kufukuzwa aama kukimbia kwa
commercial manager wa atcl enzi hizo muhindi ambae ameamua kubaki tanzania kwa kuongoza moja ya travrl agent mashuhuri hapa nchini..si hivyo tu nembo hii ilileta kashfa pale ceo wa wakati huo alipokaa kupitia maoni na tenda za wanaoweza kuongoza shirika hilo wakaiteua kampuni moja ya tanzania
wakati wanafikiria kupataje ten percent kwenye kampuni hiyo mh ceo akishirikiana na management na wakati huo alikuwepo director mhuni mmoja kutoka kenya aliechukuliwa bila kujua hana idea yoyote ya ndege akaiwajulisha kuna jamaa anaweza kuwatengenezea kwa bei ya chini na kukubaliana baada ya nembo mh huyo anaweza kuwapa pesa wanayoitaj kama ahsante kama kawaida hali hiyoilimfanya kijana yule kwenda kenya kama mwendawazimi na ndipo akaleta nembo ya kihuni..kivipi nenda kaangalie ile nembo alichofanya ni kuweka a badala ya k ya kenya airways lakini nembo hiini sawa na ya kenya airways natumaini million 300 jamani aiwezi kuelezea imetumikaje kutengeneza nembo ya kampuni...mungu awaape heri wafanyakazi na roho ya huruma ya kuvumilia
mr chizi
kwa kweli huyu siwezi sema lolote maana kila mtu anajua alivyojipanga labda tuwaachie wafanyakazi wali ilikouwa airtanzania ambao walikuwa nae kuelezea umahiri wake naomba tunaitaji kupata ukweli halisi na si kuandika sababu ya wivu ama alikunyima unyumba miaka hiyo la hasha tupen data tuzifanyie kazi tafadhali
wakati huo huo habari zilizotufikia punde zinasema kampuni ya atcl inatarajiwa kuendelea na safari zake kama kawaida kuanzia tar 25 pamoja namengine kwa kuhofia kuwepo na ndege moja imetangazaa kuanza safari za kigoma na tabora kwanza huku ikisubiri matengenezo ya ndege nyingine ambayo itatarajia kuanza safari za mwanza na kweingineko
mungu ibariki tanzania mungu ibariki atcl!!