BREAKING Newzz>>>CHEGE apata ajali mbaya ya gari usiku huu Temeke

maskini pole yake, twamuombea afya njema! ni beste yake wahu sana, i saw them together in nairobi at the carnival pub last year dec! hope wahu keshapata taarifa!
 
MAJIMAJI ya mkoani kwako.
Wewe ni mpuuzi, hii thread iliyeianzisha aliipost kwenye jukwaa la sports na siyo celeb, isitoshe mimi siyo mpenzi wa hizo Bongo fleva unategemea huyo Chege mimi nitamjulia wapi? mleta thread angeweka maelezo yanayojitosheleza wala kusingekuwa na mtu wa kuuliza maswali.

Hivi wewe kama hufuatilii siasa unaweza kumjuwa Mbunge wa Babati ni nani?
 
Kumbe Chege, nilidhani Andrew Chenge

Bujibuji umenikumbusha ile ajali ya Chenge na vidosho wake usiku wa manane akadai mmoja wao alikuwa bado yu hai wakati akiongea alikuwa mfu................
 
Last edited by a moderator:
Hii ni Post aliyoweka facebook ZITO KABWE......Uwanja wa Lake Tanganyika umejaa toka saa moja asubuhi, nasubiri kupokea wabunge wenzangu wanaokuja kutuunga mkono kwenye shughuli ya Kigoma All Stars. Diamond, Chegge, Ommy Dimples, makomando na Banana Zorro wanaingia Lwama mchana huu. Mji umewaka sana sana
 
Wewe ni mpuuzi, hii thread iliyeianzisha aliipost kwenye jukwaa la sports na siyo celeb, isitoshe mimi siyo mpenzi wa hizo Bongo fleva unategemea huyo Chege mimi nitamjulia wapi? mleta thread angeweka maelezo yanayojitosheleza wala kusingekuwa na mtu wa kuuliza maswali.

Hivi wewe kama hufuatilii siasa unaweza kumjuwa Mbunge wa Babati ni nani?
we juha amabe humjui, kuna mtu asiemjua chege chigunda mtoto wa mama saidi tanzania hii, au wewe unakaa kijiji gani hata redio hakuna?
hata kama ni sports tumia akili, kwani ikipostiwa ishu ya siasa kwenye celebs we huwezi kutumia akili kupembua?
mbunge wa babati namfahamu sana yule mdosi Jitu au unaongelea nani?, hakuna nisichikijua katika anga za bongo.
 
Jifunze kuandika kwanza then ndio ujinadi mbele ya Wanaume kwamba unajuwa kila kitu, wewe ndio wale wale saa saba usiku, hakuna ulijualo zaidi ya kukalili kama kasuku.

Wewe huna tofauti na wale Majuha wenzako wanaojifanya mpaka idadi ya mabasi anayomili Abood wanayafahamu na wanajuwa mwaka huu amenunuwa mabasi mangapi mapya, ushuzi mtupu.
 
am not here for spelling check and grammar, stupid wa head wewe.
 
Bogus kabisa, bila spelling kuna Lugha!? swain Fanculo.

soma hiyo signature yako, then TAKE ACTION, pimbi wewe sibishani na wanafunzi wa chuo wenye upeo kama wa nchemba na lusinde. :israel:
 
Back
Top Bottom