Breaking newz..katibu muenezi LONGIDO wa ccm ajivua gamba!aenda CHADEMA

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,591
[h=6]Breaking newz..katibu muenezi LONGIDO wa ccm anakuja... Amekwisha toka huko kwa mafisadi anajiunga na CHADEMA![/h]
 
Bado baba rizi!

Angalizo:

CHADEMA kuweni makini na Magamba
Wanaweza kuleta utata kwani CHADEMA kinaweza kuchukuliwa kama kimbilio la Magamba na hivyo kuwa sawa na C.C.M. Kwa sababu C.C.M. ni chama, na chama ni watu; watu wenyewe ndio wanakuja CHADEMA!
 
Atakuja chama dume CDM. Ila lazima tukiri ushindi wa Nassari umeamsha wengi, hususani kwa wapinzani ccm wetu wanaokamia kuwa chama cha upinzani hapo 2015, wengi wameamini ccm hapawafai, amini wimbi la wahamiaji litaongezeka sana ndani ya muda mfupi kabla 2015 haijakaribia
 
Kuna haja ya CDM kuandaa utaratibu wa kuwapokea hawa watu maana isije ikawa wanatumwa.nakumbuka wakati wa mwanzoni mwa kujitangaza kuhusu UKIMWI wapo wanaodai walihasirika na VVU na kujitangaza kumbe walikuwa wanapewa hela kuwadanganya wafadhili.
 
Hii kali jamani nahisi safu inayofuata ni wenyeviti na wakuu wa wilaya na mikoa. Tusubiri ni muda tuu
 
Mda umekaribia wakuwaongoza watanzania kwenye nchi yao yenye asali na maziwa!...wait!
 
Tuwapokee, maana ni watanzania wenzetu, isipo kuwa TUWE NAO MAKINI, maana CHUI NI CHUI TU hata kama kavaa ngozi ya kondoo.
 
Back
Top Bottom