Breaking newz.=hatimaye waziri asalimu amri,akubali kujiuzulu

mkiambiwa viroba bila kula sio vizuri hamsikii umeona sasa mwisho watu watakukariri watakuwa hawafungui post zako!
 
Watu bwana.huyu jamaa angeandika habari ya kweli kwamba waziri wa afya kajiuzuru,watu wangemponda kwa kusema kakosea jukwaa,lakini hapa kaandika utani katika jukwaa la utani watu wanang'aka.
 
nilichukia then nikacheka kwa sababu kumbe nipo kwenye page ya JOKES
upo juu
imetulia ndugu
 
Wacha watukane woooote ila mimi nimecheka mpaka sasa naendelea kucheka..pia na comments zao zinazid kunichekesha...safiiiii saaaaana!! Hahahahahaaaaaa...reeeeereeeeeree..mmhjgfhdjdhdhdh...nchaaaa!!
 
Watu bwana.huyu jamaa angeandika habari ya kweli kwamba waziri wa afya kajiuzuru,watu wangemponda kwa kusema kakosea jukwaa,lakini hapa kaandika utani katika jukwaa la utani watu wanang'aka.

Umeona J...kitu kitamu me nicheka tuuu kwa afya yangu nsije ugua nikakosa wakunitibu!
 
Isingekuwa iko jukwaa hili ningekutukana 'pambafu' bahati yako.
 
Wewe utauwaaaaa.....!Unaokana nimtalamu wakukalia kichwa wewe!
 
ilishaanza kufurahia kuwa watanzania wanyonge tunaanza kusikika, kumbe mwe! .... kiherehere chote kwisha!!!
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Teh teh teh..x 1000
Dah nimecheka sana, kihere here changu kimeniponza.
 
kwa umbea wng ndo habari ya kwanza kufungua. kumbe ushe*zi mtupu

Binafsi sioni ushe*zi hapa. Hili ni jukwaa la utani, vitimbi, mzaha, udaku na mengineyo.Mleta joke kafaulu. Kanifanya nifungue thread kwa spidi ya umeme, kumbe ni waziri wa afya wa shule fulani huko madongo kusimama! Mwenyewe nimejicheka kwa kukimbilia kisichohu..... Hongera mleta joke!
 
Bangeeeeee za kuvutia chooni bila ya kula ni mbaya sana!!!

King Kong III.Ukiwa mkongwe wa majukwaa hapa JF sikutarajia ungetoa comment ya kuponda kiasi hicho! Yaani thread ya mtu unaihusisha na uvutaji wa bangi chooni? Hebu mwombe radhi mtoa joke.
 
Back
Top Bottom