Breaking news: wanafunzi UDOM kurudia mwaka!

Is it the best ama the biggest?
Kwa nini waziri ndo atoe tamko, chuo hakina senate?

hata mimi nimeshangaa hii kitu ila mwanzo alivyoanza alisema alifanya ziara katika vyuo mbalimbali nchi na kuongelea mambo mengi, na alivyosema hivi nikaamini haya ndo maamuzi ya chuo.....mjini shule!
 
udom co chuo cha kata,maneno haya chanzo chake nini,tumesema na tusijadili na kudharauliana hapa,chuo bora ni akili yako
 
Back
Top Bottom