Breaking news:wachezaji wote waliofungiwa yanga wasitishiwa adhabu azabu !

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Kamati ya nidhamu na usuruhish ya tff imefuta adhabu walizopewa wachezaji wote wa yanga kwa sabb kamati iliyohusika kotoa adhabu ilikua imekurupukia kazi isiyokua yao.na kwamba adhabu hiyo ilitakiwa kutolewa na kamati ya nidham na usuruhish na sio kamati ya ligi..hureeee!
 
ndio tatizo la timu kuwa chini ya CCM, wakina Ridhiwani ndio viongozi ndani ya yanga tutegemee nini? Adhabu waliyopewa hao wachezaji ilikuwa ni fundisho tosha sipati picha kama hayo matukio yangefanywa na Costal Union au Majimaji ingekuaje?
 
afu mnataka kuwa kama ligi za ulaya,mtakaa sana na bongo yenu.... Nidhamu ndo key ya maendeleo ya kila kitu hapa duniani...over
 
Mchezaji wa timu ya Ligi Kuu na timu ya Taifa anampiga Mwamuzi halafu anaaachiwa bila adhabu yoyote??!!
Inashangaza kama sio kusikitisha
 
Mnamlaum nani hapa?! Muwalaum tff kwa kutojua kazi za kamati zake yenyewe. na maamuzi yao ya kurefer waandishi wa habari hususani wa clouds ambao jopo lao lote la michezo limejaa wanachama na viongozi wa simba.
 
Heeheee mahanithi hao wakiongozwa na clouds fm ati wanatoa maamuzikisa mtangazaji mmoja amabae ukiangalia elimu yake huko clouds kaingizwa tu kusaidia familia akapewa kipindi cha michezo
mikenge inakaa kuanza kuhukumu bila kujua nani wenye mamlaka ya kutoa maamuzi kama hayo

binafsi
hata hao kamati ya nidhamu ni washenzi na wapuuzi inaonesha jinsi gani walivyokuwa famba ..nasema hivi nikimaanisha kuna wakati lazima wajue emergency...wakati yanga wakipelelka malalamiko yao awakuwa wapuuzi .na wajiulize wakati wanatoa haya maamuzi wale watoto waliofungiwa mechi tatu ambao wameshatundikwa wanafidwaje

lazima tujue tuna wapuuzi watupu pale tff hata leo hii awajui nani anatakiwa kuhukumu wachezaji nani atakiwi hili ni swala la aibu sana naomba niishie hapo maana mwisho ntamtukana mjomba wangu hapo kwa upumbavu wao nahisi wakati muhimu sasa kuanza kuitana kupeana katiba ya tff kila mtu ajue majukumu yao
 
TFF ni genge la wezi na walevi wa pesa za viingilio hakuna wanalolijuwa kwenye mchezo wa soka......
 
Bora niburudike kwa kuangalia vishoka vinaniongezea maujuzi kuliko haya maigizo ya kandanda ya wababaishaji,Yanga ni jumuia ya chama kama vile ilivyo UVCCM and UWT!
 
afu mnataka kuwa kama ligi za ulaya,mtakaa sana na bongo yenu.... Nidhamu ndo key ya maendeleo ya kila kitu hapa duniani...over

huu upumbavu ndo aliokuwa anaupigia kelele maximo! Wachezaji wanavuta bangi,viongozi wa soka wanaleta siasa,aafu wanaomba tuende kuwashangili! Pumbaf kabisa.! Kuna watu watakuja kunya uwanjani aafu wakatetewa. F..k u all tff,viongozi wa simba na yanga kwa kutuharibia nidhamu na utaratibu wa uchezaji wa soka.
 
afu mnataka kuwa kama ligi za ulaya,mtakaa sana na bongo yenu.... Nidhamu ndo key ya maendeleo ya kila kitu hapa duniani...over

mi napenda yanga but napenda mwasika apate adhabu kali ingawa sikubaliani na adhabu ya kufungiwa mwaka mzima.pia sikubaliani na adhabu ya wachezaji waliobaki coz makosa yao hayaonekani hata kwa ushahidi wa picha.kama unayo weka hapa...vinginevyo labda kama unataka siasa michezoni.
 
afu mnataka kuwa kama ligi za ulaya,mtakaa sana na bongo yenu.... Nidhamu ndo key ya maendeleo ya kila kitu hapa duniani...over
Kama ni kweli basi TFF inahitaji kufanyiwa mageuzi makubwa sana. Ni aibu kwa mchezo wa soka! Hatuwezi lea wahuni kwa visingizio vya kipumbavu kiasi hicho!
 
Adhabu wamefutiwa kabisa, au kamati inayopaswa kuwaadhibu ndio itashughulikia swala la kuwaadhibu tena?!
 
Ya CCM na CDM au Nape na Lowassa au Zitto na Slaa kila sehemu

Halafu tunataka maendeleo
 
Adhabu wamefutiwa kabisa, au kamati inayopaswa kuwaadhibu ndio itashughulikia swala la kuwaadhibu tena?!

ni kwamba kamati ya nidhamu imeipa siku 14 kamati ya ligi iwe imewasirisha mashtaka ya hao wachezaji ili kamati ya nidham itoe hukumu yake.jamani tibaigana sote tumamfaham hafanyi kazi zake kisiasa.mnaotoa coments humu muwe great thinkers,humu sio fbook. .
 
Kumbe adhabu hazijafutwa ila kamati ya ligi kuwasilisha mashitaka kwa kamati ya nidhamu ya TFF, kisha kutolewa uamuzi mwingine upya, wewe mwenyewe unapotosha watu kusema adhabu zimefutwa badala ya kusema adhabu zimetenguliwa kwa muda na zitaamuliwa tena na kamati ya nidhamu ya TFF !!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom