BREAKING NEWS TCU yaibiwa vifaa muhimu kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu: USALAMA wa Taifa hatarini

Mwanaharakatihuru

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
477
120
Tumevamiwa, walinzi wakutwa hoi wamelala, computer, na vitunzia kumbukumbu vya rasilimali watu wa Tanzania vya yeya je huu ni ujasusi au ni wizi wa kawaida?? Usalama wa taifa jumlisheni vizuri hili sio jambo dogo.
 
Kila mara wana JF wameshazungumza hapa kwamba hatuna Usalama wa Taifa nchi yetu iko uchi mno ,sijui tutapona kweli naogopa kufa bila kichwa na mikono jamani
 
wameibiana hao hao wenyewe kuna mambo wanayaficha . ndio ccm yenu hio wala msiumize vichwa
 
assumptions
1. Mchezo wa ndani friendly fire
2. Hujuma ili kuchelewesha udahili wa wanafunzi kutokana na kutokuwa na hela za mikopo
3. Maadui kutoka nchi jirani au mashirika ya kijasusi
4. wezi wa kawaida
5.hujuma kutoka kwa watu waliofodge vyeti
6. Hujuma kutoka UAMSHO
7.Hujuma dhidi ya uongozi wa kikwete
8.Hujuma dhidi ya uongozi wa TCU
9.Hujuma kutoka kwenye vyuo visivyosajiliwa
10.Ufisadi

Katika hizo assumptions moja ndio kweli sasa anzeni kuprioritize
 
Uzi bado hauna nyama ya kuita Breaking News, hebu dadavua ilikuwaje kuwaje mpaka hali ikatokea na nini hasa kilichoibwa na kina umuhimu gani.

Nijuavyo mimi TCU wana data base yao, sasa wameiba server?
 
Wanajamvi naomba radhi kwa nitakaowakwaza, lakini ukweli ni kwamba mmeniacha gizani. Naomba kuelimishwa TCU ni nini? Bahati mbaya siko nchini na ningependa kuelewa kinachojadiliwa hapa, na si rahisi kuelewa kama hata kirefu cha TCU sikifahamu.
 
TCU = Tanzania Commission for Universities.
Ofisi zao ziko Dar es Salaam - Kinondoni - Garden Road
 
Kila mara wana JF wameshazungumza hapa kwamba hatuna Usalama wa Taifa nchi yetu iko uchi mno ,sijui tutapona kweli naogopa kufa bila kichwa na mikono jamani

Tuna USALAMA WA CCM na viongozi wake. Kwa mfano wame-play a very role kufunika kufumaniwa kwa Simba wa wenyewe!!
 
hawa nao, kwanini wasingeenda loan board watu tukasamehewa mikopo yetu.. arrrgh

mzee ni kama tulikua tunasomana mawazo...yaani napenda hata kahitilafu ka moto katokee pale ili wote tuwe mafisadi lol
 
wanajamvi naomba radhi kwa nitakaowakwaza, lakini ukweli ni kwamba mmeniacha gizani. Naomba kuelimishwa tcu ni nini? Bahati mbaya siko nchini na ningependa kuelewa kinachojadiliwa hapa, na si rahisi kuelewa kama hata kirefu cha tcu sikifahamu.
tanzania commission for universities
 
assumptions
1. Mchezo wa ndani friendly fire
2. Hujuma ili kuchelewesha udahili wa wanafunzi kutokana na kutokuwa na hela za mikopo
3. Maadui kutoka nchi jirani au mashirika ya kijasusi
4. wezi wa kawaida
5.hujuma kutoka kwa watu waliofodge vyeti
6. Hujuma kutoka UAMSHO
7.Hujuma dhidi ya uongozi wa kikwete
8.Hujuma dhidi ya uongozi wa TCU
9.Hujuma kutoka kwenye vyuo visivyosajiliwa
10.Ufisadi

Katika hizo assumptions moja ndio kweli sasa anzeni kuprioritize

Hapo kweli sababu hazikosekani,lazima kuna jambo moja limechangia.
 
Back
Top Bottom