Breaking news: Super Najimunisa lawaka moto mchana huu!!!!!

Huko hakuna fire rescue? kwanini wasubiri mpaka liteketee?
kweli tanzania nchi ya ajabu sana

mkuu hv unakufahamu Gairo lakini?...try to imagine hapo Kibaha au Bagamoyo kama kuna Fire Dept...
 
Poleni sana, Tuwe na hilekopta za multipurpose kwa rescue mission, Tupunguze mashangingi.
...nlisha weka bandiko hapo JF nkimtafadhalisha malkia atuletee helkopta za kutoa msaada wa waukolea watu kipindi kile cha mfuliko ya Dar,nalimwomba kale kachenchi ketu ka rada badala ya kuturudishia pesa atulete helkopta maalum kwaajili kutoa msaada wa uokuoaji coz watanzania wenzetu wengi walipoteza maisha kwa kukosa msaada,cha kustajabisha mkuu wa kaya akawa anapita na helkopta ya polisi akiwapungia mkono watu waliokuwa wamekaa juu ya mapaa ya nyumba wakiomba msaada,waandishi walipo uliza ni kwani polisi wasitumie hizo helkopta zao kuokolea watu?,jibu likao kwamba...hizo helkopta za polisi hazijatengenezwa kwaajili ya kutoa msaada wa kuokolea watu coz hazina vifaa vya kuokole...ktk sherehe za miaka 50 ya uhuni no uhuru walituonyesha silaa kibao za kivita nikataraji labda siku hiyo ntaiona japo helkopta moja ya kutole msaada wa kuokolea raia,sikuona kitu kama hicho...nkajiuliza ili ni linchi gani!?,lina nunua silaa nzito za kivita na kushindwa kununua hata helkopta moja ya kutolea msaada wa uokoaji??...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom