Breaking News! Rais wa Haiti Apigwa Mawe!

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Wakuu nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari ya RFA nikasikia kuwa rais wa nchini Haiti amepigwa mawe na wanafunzi wa chuo kikuu nchini humo alipokuwa akitoka kwenye sherehe usiku,walinzi wake walifanya kazi kubwa ya kumlinda rais wao ili mawe yasimpate.
 
Ungeandikwa kwenye title yako Rais wa Haiti apigwa mawe, hapa pipo zinafungua zinafkiri JK kapigwa mawe, mweeeh
 
Wadaku mko wengiiii acheni kuingilia kazi za watu kama mnapenda kuandika habari simsomeeee. Kwani ungeandika Rais wa MaHITI kapigwa mawe tusingeingiaaa. Acha kuweka que za kijinga
 
Mtoa mada unafaa kufanya kazi kule kwa Shigongo!
Maana Tz tunao maraisi wawili tuu i thought one of them
 
hataki kutoka madarakani nini?

Baadhi ya wananchi wamemchoka,wanasema kuwa alichakachua kura wakati wa uchaguzi mkuu,ndo maana hao wanafunzi hao wa chuo kikuu wakampiga na mawe ili kufikisha ujumbe wao.
 
Rais mwenyewe nasikia mwanamuziki . Umaarufu wa muziki ulimpa urais lkn bahati haujamatch na utendaji wa urais.
 
Ooh kumbe jk anaafadhali alipo booo pale UD hyu wamepga kabisa?safi sana hait.
 
Back
Top Bottom