Breaking news: Prayers answered - Its a baby girl for TEAMO and his family

Aisee unajua hapo umefanya age calling? Jichagulie adhabu!

Katika kufanya logistics za kwenda kumpongeza Glory na wazazi wake, nitahakikisha mbuzi/digidigi amefika eneo la tukio...nadhani adhabu hiyo itafaa kwa mzee mwenzio kukuita mzee badala ya wajukuu wako
 
Dah.... kama kweli wazee wa infii wanatanguliza videmu ndani ya nyumba basi mie lazma mlokole aisee... maana huto tu-mwenelehi twangu tudume aisee

Ngoja niwaandae kwa zoezi la ukubwani

That proves it as just a myth....pamoja na kutanguliza wa kike bado sio infii
 
Hivi Dena ana mtoto wa kike?
hahahaa!!! Now that u know, it proves that it is not a myth anymore, it is for Real brada!
U infi, u get a baby she! thats the rule.

Wapi FL baaanaaa!.....kama vile ukiwa mweupe, una infii ile mbaya!! Yani kwa mujibu wa FL, hii kitu ni AUTO
 
Na kamwe humtakufa msahaulike, kwani mtakuwa mmeacha alama duniani. Congratulation to you!
 
hahahaa!!! Now that u know, it proves that it is not a myth anymore, it is for real brada!
U infi, u get a baby she! Thats the rule.

Wapi fl baaanaaa!.....kama vile ukiwa mweupe, una infii ile mbaya!! Yani kwa mujibu wa fl, hii kitu ni auto

kwa kila jambo, kuna majira yake.
 
Baby Gaijin kaja eee ...............full majournal :p

JF imependekeza aitwe Glory...........we are waiting for the overwhelmed dad to come back and take it
 
Hongera kwa Bwana na Bibi Teamo. Tunamtakia Baby afya njema na maisha marefu yenye mafanikio.
 
Hongera sana Teamo

Lile Gobore la babu nitakuuzia ili likusaidie kulinda
 
Hongereni Teamo n family. But nauliza, palikuwa na tatizo la uzazi? Mbona topic imekaa kama vile ilikuwa last chance kwa mtoto kupatikana? Why is it good day for jf? How many jf members have had kids within jf existence? Dont quote me wrong, guys. Just curiousity
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom