BREAKING NeWs: Ngasa aukana mkataba wa kwenda simba

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Kweli Azam wanaweweseka wameamua kumpeleka ngasa Simba kwa mkopo kinguvu kwani ngasa anadai, hajashirikishwa kwenye mkataba huo.Pole sana ngasa,na pole simba kwa kuoa mke asiyekutaka kwani mtakuja sema anawahujumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom