breaking news-Nafasi za JKT zimetoka

Status
Not open for further replies.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
wale wote wanaopenda kwenda JKT nafasi zimetoka,Wanahitaji watu 350,elimu kuanzia Shule ya msingi mpaka elimu ya juu. Kwa maelezo fika ofisi ya mkuu wa wilaya,ofisi ya mshauri wa mgambo mkoa ulipo,
Hakikisha.
Original birth certificate
Original academic certfcte
Barua ya uthibitisho wa makazi kutoka kwa m/mtaa/mtendaji
AGE-18 TO 23
MAFUNZO NI MIAKA 2

updates za leo ofisi ya wilaya ya kinondoni
Baada ya kufika pale nilikuta vijana wengi wakisubiri usaili wa jeshi,gafla nikamuona afande mmoja ana v mbili nikamfata na kuanza kumuuliza maswali..

swali langu la kwanza ni kuwa katika NAFASI HIZI WENYE UJUZI MNA WACHUKUA afande akajibu HATA KWENYE MSAFARA WA MAMBA KENGE NAO WAPO...NENDA JUU KAWAPE DETAILS ZAKO.....

Nawatakie kila lakheri muendao huko.

 
wale wote wanaopenda kwenda JKT nafasi zimetoka,Wanahitaji watu 350,elimu kuanzia Shule ya msingi mpaka elimu ya juu. Kwa maelezo fika ofisi ya mkuu wa wilaya,ofisi ya mshauri wa mgambo mkoa ulipo,
Hakikisha.
Original birth certificate
Original academic certfcte

hizo kazi umetangaza wewe au?
 
Je kwa sisi ambao tumemaliza 4m 4 mwaka jana inawezekana,coz hatuna Original Academic Certificate hazijatoka. Ufafanuzi plz
 
Sure zimetoka! Mlikuwa mnaulizia kila siku leo zimetoka mnaelekezwa mahal pa kupata info. Bado mnazingua.
 
350 kwa nchi nzima? Vijana wetu 150,000 waliopata zero mwaka jana watafanikiwa maana ndo lilikuwa kimbilio lao.
 
Wakuu mi nilimaliza kitambo kidogo form 4 mwaka 2005. Vip naweza pata nafasi umri wanahitaji kuanzia miaka mingapi na mwisho mingapi??

Vipi wakuu vigezo vingine ni vipi??
 
watu tunazungumzia JKT mtu mwngne anauliza police huku akijua kuwa Nafasi za police zimetoka kwa form six wanaosubiri matokeo tu.

Na zilishawekwa humu,
 
Zamani kazi ya jeshi ilikuwa ni option ya mwisho kabisa, lakini siku hizi!! aisee ajira ni ngumu mno.
 
Hizo nafasi 350
ni kwa nchi nzima au mkoa mmoja tu?
Maana ukisema hivyo una maanisha kila wilaya wasizidi watu 3
AU
ulitaka kuandika 3500
ukasahau ukaandika 350?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom