Breaking news:mbuyu twitte ndani ya kilimanjaro on transit to dar

Habari zilizotufikia hivi punde mbuyu twttite mchezaji wa yanga
na best wa simba wametua mjini kilimanjaro wakisubiri dk 30 kuelekea
dar es salaam ,,,wana yanga wote tunawaomba mjitokeze kwenye mapokezi
ndege itatua saa 0415pm saa afrika ya mashariki tutakuwa tukiwapa update jinsi inavyotua na mpaka atakaposhuka

karibu m.twttie tuna matumaini rb iko karibu kama mlivyoendelea kubwabwaja kwenye redio

ungeeipeleka sport ingekufaa zaidi wewe na wenzeo wa yanga asili..
 
nimepishana nao hapa nyerere road naelekea airport.. Nilikua ni ccm .. Yanga bana. dah!!
 
Walewale mnaopiga KURA za kuchagua Viongozi kwa kupewa Doti moja ya Kanga na mche wa sabuni. Halafu kutwa kutupigia kelele kwamba mnaonewa.

pelekeni siasa zenu uko. Mda wa siasa ni siasa muda wa kula bata tule bata,.
 
watanzania wamerogwa...na mchawi wao keshakufa....hili li nchi banaa kwa mpira gani watu walitoa dola elfu 34????wajinga ndo waliwao teeehteeh
 
Back
Top Bottom