Breaking news;maofisa wa tra wala breakpoint 160,000 wakataa kulipa wakitaka risit ya tra

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,721
21,778
Jamani hii n i aibu ya serikali na nafikiri haka kamchezo kako kila ofisi
ukisoma mwananchi leo unawweza kusoma aibu ya tra jamani
huzuni kubwa kwanza breakpoint bar imefungwa

katika hali isiyokuwa ya kaiwaida mabosi wa tra wakiwa 10 waliambatana kwenda breakpoint bar na walipofika
wakaagiza pombe na vyakula bili ikafika laki na sitini walipopelekewa wakaasema tunataka risit za tra
jamani ikabidi aitwe mkurugenzi david akawaeeleza amchine zenu zina matatizo na nimetuma ujumbe bmtl wamesema
wanakuja na hata makao yenu m akuu nimewajulisha wakasema sisi atulipi na kwa ukitaka tulipe tuletee ofisini kwetu risiti ya tra hata kesho mama mmoja ajulikanae mabula akacha namba yake
jamani kwa mnaomfahamu huyu mama ni mshenzi kwa kuomba rushwa mbaya tena wazi wazi;cha kushangaza wakaendwa kwa mkuu wa tra ilala wakatuma watu wafunge bar ya breakpoint,..hii ni aibu kubwa na kuleta faini ya millioni 3 na inasemekana analalla na mama mh mmoja ndio maana anakuwa na kiburi achilia mbali mke wa mtu

ndugu wapendwa hii ni kwawale mnaolipa tra muwe makini sana sana na wah wanaokadiria..nina mjomba wangu alifatwa na hawa mapunguani wakamletea alipe kodi ya million 80 akashangaa wakati hana hata biashar inayofika hiyo bei....akauliza mmepewa na nani hizi bili ..baada ya wiki akaitwa na mkuu wa tra wilaya moja akamwelekeza na kumpa kila risit akadai aende akawasiliane na jamaa wanaohusika kukadiria ..alipofika jamaa wakamwambia atafute million 20 hii bili ifutwe kabisa..jamani akawambiia kwa biashara gani nilionayo wakamwambia atafute million 10 akawambia nina miaka 5 nalipa hizi bili kwa million 10-13 sasa leo unasema bila risit nikupe million kumi mi nafikiri pelekeni mbele...ninavyowambia akaenda mjini akamweleza mh mmoja akaishia kulipa million 6.7 na risit sasa ya kweli ama feki wanajua wao

so muwe makini sana msijemkaishia kufanyia biashara tra na kurudi kiraracha kabla amjafa


wazo langu kuleta hii mada ni je ukikosea nilazima ulipe
 
mtoa mada hujaeleweka vizuri!ila imeelezea jns tra wanavyonyanyasa!ukitaka tra wasikusumbue weka hesabu zako fresh kama wahind wanavyofanya!unakua na kitabU spesho cha magumashi!afu na huu mgao wa umeme hicho ki mashine cha tra kinafanya kazi?
 
Mkuu hebu weka sawa hii taarifa. Ni BreakPoint ipi hiyo iliyofungwa? ya kijitonyama au ya mjini? Na imefungwa kuanzia lini?

Tiba
 
Sijui mnakumbuka siku za nyuma kidogo kuna ofisa wa tra alikuwa ansumbua sana Mbeya kwa habari kama hizi za manyanyaso kwa walipa kodi na umalaya-kwa wake za watu...walimpeleka ahera aendelee na drama zake.
 
Kama kweli ni aibu, si wanalipwa mamillioni na hawalipi kodi hawa m@%$a aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1 mnatuharibia siku *****
 
Kama kweli ni aibu, si wanalipwa mamillioni na hawalipi kodi hawa m@%$a aghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1 mnatuharibia siku *****

mkuu iko kwenye mwananchi ya leo na huyo mama anaitwa mabula ndie aliacha simu namba yake na kutishia kuifunga wakifwatliiwa sana hilyo bill na kweli wakafunga
ni town soma mwananch
 
Huo wote ni uwozo wa CCM, ni wakati umefika sasa wa kujichukulia sheria mkononi maana hawa watumishi wasio waaminifu wamezidi, mie lazima nimpige mmoja risasi akileta za kuleta.Hawa watu wanatakiw akufukuzwa kazi mara moja lkn kwa sababu inji yote imeoza na ufisadi hawatachukuliwa hatua yoyote. Inatakiwa mmoja apigwe hadi kufa ndo hawatarudia tena. Yahani ni mijitu mijinga imefoji vyeti haina sifa ya kuajiliwa ndo maana hawawezi hata kubuni njia za kuiingizia serikali mapato.
 
TRA wahuni lakini na wafanyabiashara wamezidi wanajuana hao ngoja wakome
mimi sioni wa kumtete hapo wote hovyo yeye kama risiti azifanyi kazi kwa nini anakula vichwa tu bila kufanya jitiada za ziada? na walipopewa hayo mamashine hawakuwauliza kama ya kiharibika itakuwa je?
 
Huo wote ni uwozo wa CCM, ni wakati umefika sasa wa kujichukulia sheria mkononi maana hawa watumishi wasio waaminifu wamezidi, mie lazima nimpige mmoja risasi akileta za kuleta.Hawa watu wanatakiw akufukuzwa kazi mara moja lkn kwa sababu inji yote imeoza na ufisadi hawatachukuliwa hatua yoyote. Inatakiwa mmoja apigwe hadi kufa ndo hawatarudia tena. Yahani ni mijitu mijinga imefoji vyeti haina sifa ya kuajiliwa ndo maana hawawezi hata kubuni njia za kuiingizia serikali mapato.
Aliyetoa tuhuma hajafafanua ikieleweka ni nini chanzo cha hilo swala, hata haijaonyesha kama mmiliki wa breakpoint ni inocent au la! Nadhani kutoa hukumu moja kwa moja kwa tra tena hukumu inayohusisha risasi ni kukosa ukomavu wa fikra. Nadhani mtoa mada atufafanulie vyema kuhusu suala hilo ili michango ya members wengine iwe constructive than destructive.
 
TRA, Im allergic to them! Hawa jamaa mm huwa nawachukulia personal (call them by their First Name!). Mbaya sana wanafanya maksudi!! Hapa mjini usipokuwa mbabe watakushika mat*ko, they are thieves!
 
Back
Top Bottom