Breaking News-Mafuriko Mwanza Uwanja wa ndege wafungwa!

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Taarifa kutoka Jijini Mwanza ni kuwa Mvua kubwa inaendelea kunyesha na maji yamefunika uwanja wa ndege ,UMEFUNGWA

Kwa video clip tazama Star TV saa 7:00 mchana dhk 15 kutoka sasa

Byabato
 
Wakuu haya siyo mambo ya Mungu hayo mafuriko hapo Mwanza airport si mara ya kwanza wala ya pili hata ya tatu kutokea, infact imekuwa kawaida siku hizi kila mwaka at least mara mbili au tatu kutokee mafuriko, na most of it ni storm water.

Sasa badala ya kuweka miundo mbinu yenye kudhibiti maafuriko tunaanza kuomba Mungu. C'moon when r gonna be at least serious in Tanzania? Mpaka siku itokee maafa makubwa, tuwe na msiba wa kitaifa shughuli zote zisimame?
 
Idara ya hali ya hewa walishatoa angalizo, so poleni Mwanza..mwanza
 
Hali ni tete katika uwanja wa ndege Mwanza baada ya uwanja kukumbwa na mafuriko.
 
Nature inafanya kazi,inanikumbusha Thailand.No way hope hali ya kawaida itarudi
 
Mbaya hii.
Miundombinu ya Mwanza ina tatizo la kudumu la kutuamisha maji, na hii ndiyo iliyopelekea hata ndege ya Atcl ku'skid-off na kuharibika vibaya mwaka jana. Mamlaka husika inatakiwa kuvalia njuga suala hili, hasa kwa kutotanguliza maslahi binafsi kwenye kandarasi za ujenzi wa miundombinu.
 
Back
Top Bottom