Breaking News: Leo Ngereja Kuongea na wafanyabishara wa mafuta

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Leo Waziri wa nishati W. Ngereja ataongea na wafanyabiashara wa mafuta
Jana Ngereja alitoa msisitizo wa wafanyabishara wa mafuta kufata sheria za nchi
la sivyo sheria itafuata mkondo wake

Stay tuned

Leo Waziri wa nishati W. Ngereja ataongea na wafanyabiashara wa mafuta
Jana Ngereja alitoa msisitizo wa wafanyabishara wa mafuta kufata sheria za nchi
la sivyo sheria itafuata mkondo wake

Stay tuned

Hakuna lolote la maana atakaloongea zaidi ya kuwabembeleza.

Leo Waziri wa nishati W. Ngereja ataongea na wafanyabiashara wa mafuta
Jana Ngereja alitoa msisitizo wa wafanyabishara wa mafuta kufata sheria za nchi
la sivyo sheria itafuata mkondo wake

Stay tuned
Hii nayo ni Breaking news? crap from crapiest.

Kabla hajaongelea suala la mafuta atumbie kwanza kwa nini wizara yake iwewapa rushwa wabunge ili wapitishe bajeti mbovu

Swala la sheria kuchukua mkondo wake sio jambo la kukumbushana!!
ni kitu ambacho kila mfanyabiashara anatakiwa kuishi- nacho.

so kama mtu kavunja sheria afungiwe tu leseni.

Leo Waziri wa nishati W. Ngereja ataongea na wafanyabiashara wa mafuta

Jana Ngereja alitoa msisitizo wa wafanyabishara wa mafuta kufata sheria za nchi

la sivyo sheria itafuata mkondo wake

Stay tuned

Akili zilizo jaa magamba ndio kamaa hizi

Leo Waziri wa nishati W. Ngereja ataongea na wafanyabiashara wa mafuta
Jana Ngereja alitoa msisitizo wa wafanyabishara wa mafuta kufata sheria za nchi
la sivyo sheria itafuata mkondo wake

Stay tuned
Wewe acha wehu..anaitwa Ngeleja sio Ngereja

sidhani kama ataongea kitu cha maana zaidi ya upupu mtupu....you will tell me

Jamani mbwa wenu..................................... kumbe jibwa lenyewe koko!!!!!!!!!!!

Leo Waziri wa nishati W. Ngereja ataongea na wafanyabiashara wa mafuta
Jana Ngereja alitoa msisitizo wa wafanyabishara wa mafuta kufata sheria za nchi
la sivyo sheria itafuata mkondo wake

Stay tuned

another history in the making: mgomo wa wafanyabiashara wa mafuta juwa historia hahahahahaha

Who cares? Amemaliza supp yake? Ndo mambo yaleyale anakimbilia kukaba anapishana na striker amevua shati anashangilia goli! Above all u call this breaking NEWS?

Leo Waziri wa nishati W. Ngereja ataongea na wafanyabiashara wa mafuta
Jana Ngereja alitoa msisitizo wa wafanyabishara wa mafuta kufata sheria za nchi
la sivyo sheria itafuata mkondo wake

Stay tuned

Bila shaka atatoa taarifa za Kufukuzwa nchini kwa Kaburu wa Engen aliyeipa Serikali ya JK masaa 24 iwe imeshusha bei za mafuta.

HAKUNA SERIKALI HAPA! Tuna SIRIKALI......!! Wanafunzi/Wafanyakazi Wakigoma tunapigwa madongo kwenye Mikutano(Hata KURA ZENU sizihitaji), Mabomu ya Machozi, Maji ya kuwashwa, VITISHO KIBAO, Na hapo tunakuwa tunadai haki zetu, Hawa mmewapangia BEI hawataki wamegoma mpo kimyaaaaaa! Jana 8/8 sijasikia kijembe hata kimoja, maana zake ni vijembe kama mipasho..Ila hawa kawafumbia MACHO. Sawa na sisi tutagoma na hatuwendi makazini. Mimi leo nime Park Gari Petrol Station nikala Daladala, Jioni nahisi hata dala dala hazitakuwepo maana mafuta walionayo yataisha. HUYO NGELEJA siju NGEREJA ndio wale waleeee... Mijibwa ..........ko!!

Leo Waziri wa nishati W. Ngereja ataongea na wafanyabiashara wa mafuta

Jana Ngereja alitoa msisitizo wa wafanyabishara wa mafuta kufata sheria za nchi

la sivyo sheria itafuata mkondo wake

Stay tuned

hivi kumbe ngeleja bado yupo, dah nchi ya kitu kidogo ni nchi ya watu wadogo. Ngeleja hana jipya, hana ushawishi, ameshindwa kazi na hana sifa ya kuwa mbunge,waziri au diwani. Nway anaongea na wauza mafuta yeye kama nani? Magamba bana, another abunuasi work.

Back
Top Bottom