Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Guys hizi habari nimezipata kutoka tripol but soon nitakuja na confirmation report so stay tuned
YouTube - Economic Hitman reveals shocking truths about the GovernmentBREAKING NEWS:Colonel Gaddafi's son, Sayf al-Islam, appears on Libyan TV and accuses people outside Libya of provoking violence
Au Bro Baraka ana mkono wake????
Kikwete naye aikimbie nchi aende zake burma siyo mpaka asubiri maandamano yatokee ndo akimbie nchi ishamshinda hii.
Yeye anaongea kama nani!!!BREAKING NEWS:Colonel Gaddafi's son, Sayf al-Islam, appears on Libyan TV and accuses people outside Libya of provoking violence
Huyo haendi popote. Kama angekuwa wa kuondoka asingemuacha mwanae nyuma.
Hapa naangalia Al-jazeera live na ninaona wananchi wamechoma moto kituo cha television ya Taifa na
jengo kubwa la muhimu kwa serikali ya Libya