Breaking News: Dr. Richard Lyimo Hatunaye tena!

Marehemu alikuwa mtu mzuri sana:coffee:

Definetely so. Very kind and caring dr. A man to his job who served with esteemed stewardship and integrity and Godfearing too. Kwa waumini wa parokia ya Upanga RC alijuwa katibu wa Parokia. Will be missed for ever. RIP Dr. na pole sana kwa familia.

Hivi unaweza kuamini huyo Dr Simfahamu ila nime guess tuu kwasababu nimezoea kusikia marehemu walikuwa watu wazuri sana.
 
Hivi unaweza kuamini huyo Dr Simfahamu ila nime guess tuu kwasababu nimezoea kusikia marehemu walikuwa watu wazuri sana.

Is it? Mimi nilimfahamu personally, he was my friend, alishanihudumia kwenye clinic yake (Goog Samaritan) na tulikuwa na mawasiliano. So sijaandika "sifa za marehemu" bali nimeandika habari za mtu niliyemjua kwa karibu.
 
Ni kweli huyu ni baba yake classmate wangu ambaye na yeye ni Dr nimeona kule FB wanampa pole, nilikuwa simfahamu huyu mzee ila nilikuwa najua kuwa baba yake Dr lyimo Jr anafanyia ocean road.
Rip Dr Lyimo Sr.
 
Marehemu alikuwa mtu mzuri sana:coffee:

Mzuri wa sura au umbo? Uzuri wa mtu ni kutokana na yale aliyokufanyia wewe binafsi usisifu kama mzembe. Mfano je kama alikua anatoa mimba? Vile vitoto vilivyonyofolewa navyo vibebe unafki wa kusifu ujinga
 
RIP Dr Richard Lyimo. Mungu awape nguvu ndugu na jamaa wa marehemu nguvu ya kuweza kupita katika kipindi hiki kigumu. Tumshukuru Mungu na tukumbuke kuomba kila siku kwa maombi na dua naye atakaribia
 
Poleni wafiwa woote,poleni wachaga woooote. RIP DR. Wa ukweli.

Sent from Siemens C25 using Jamiiforum
 
Acha kiherehere wewe. Una haraka gani ya kuposti humu jf? Suppose ndugu zake wa karibu hawajapata taarifa? Watu wengine uwezo wa kufikiria upo mwisho wa pua zao!!!
Heeeeh! Mbona umekuwa mkali hivyo? We ndo ulimroga nini? Hapa JF tunapeana habari faster,. Hata hao ndg wa karibu wakichelewa kujua atafufuka? Kama unaroho nyepesi get OUT f JF. Baba yako anaweza kutukanwa humu utatoka roho wewe.:madgrin:
 
Marehemu alikuwa mtu mzuri sana:coffee:

Definetely so. Very kind and caring dr. A man to his job who served with esteemed stewardship and integrity and Godfearing too. Kwa waumini wa parokia ya Upanga RC alikuwa katibu wa Parokia. Will be missed for ever. RIP Dr. na pole sana kwa familia.
 
Heeeeh! Mbona umekuwa mkali hivyo? We ndo ulimroga nini? Hapa JF tunapeana habari faster,. Hata hao ndg wa karibu wakichelewa kujua atafufuka? Kama unaroho nyepesi get OUT f JF. Baba yako anaweza kutukanwa humu utatoka roho wewe.:madgrin:

Well said!
 
Ukisikia watu wanaokurupuka ndo huyo mshamba. Kwanza hanijui mimi ni nani na ninauhusiano gani na marehemu na habari toka Apollo hospital nimezipataje ....... Analipuka tu na kutukana! Au alikuwa na mpango wa kuwaibia hao anaowaita ndugu akidhani hawajapata taarifa?
 
Mzuri wa sura au umbo? Uzuri wa mtu ni kutokana na yale aliyokufanyia wewe binafsi usisifu kama mzembe. Mfano je kama alikua anatoa mimba? Vile vitoto vilivyonyofolewa navyo vibebe unafki wa kusifu ujinga

Hata kama ulikuwa na kisa na marehemu wakati wa uhai wake you have no right of defamation against his dignity at this point coz unamshambulia na kumdhalilisha asiyeweza kujitetea. Wamewahi kufungwa wengi jela kwa unalolifanya. Kamuulize Mtikila. Idiot and mindless hater!
 
Acha kiherehere wewe. Una haraka gani ya kuposti humu jf? Suppose ndugu zake wa karibu hawajapata taarifa? Watu wengine uwezo wa kufikiria upo mwisho wa pua zao!!!
Jf ni moja ya chombo cha kupatatia breaking news.
 
RIP DR Lyimo,binafsi sitakusahau ulivojitoa kumhudumia baba yangu mpenzi alivokua mgonjwa siku chache kabla wewe hujaanza kuumwa.Baba ametangulia na wewe umemfuata miezi michache baada yake,na sisi wengine tupo nyuma yenu.May you RIP ,msalimie sana baba.
 
Mtu asiposoma kwa umakini ujumbe wako anaweza kudhani umeandika lugha ya kuudhi kumbe una zinga la ujumbe mtaalam. R.I.P Dr.

hakuna kenge wala bata atakaebaki milele hapa ulimwenguni kwenye ujingaujinga kibao na matatizo lundo nenda huko ambako atupajui dokta.
 
Back
Top Bottom