Breaking news: Chuo kikuu cha mkwawa mabomu yanalindima

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,027
1,299
Wanafunzi wa
Chuo cha Mkwawa wafunga njia
maeneo hayo wakidai pesa zao
(Boom) vurugu zinaendelea na
wamempiga FFU mmoja mpaka
muda
huu taarifa inakuja hapa studio
za radio free afrika hali ilikuwa si
nzuri.
 
Huku linatangazwa baraza la walaji(mawaziri) ukigeuka huku mabomu na maji washa!!! hii nchi inachosha sana akili
 
Mchakamchaka chinja ali selema alija!! Hiyo ndiyo kuelimika zaidi maana ukiona dhuruma inatendeka na umesoma huchukui hatua yoyote elimu haijakusaidia. Kwa hali hiyo elimu imewasaidia kwa kuwa wametambua uozo wa viongozi wao.

Ni haki yao kuidai maana wakimaliza huko watakuja kukutana na 8% watakazokatwa kwenye mishahara yao bila zengwe. Kwa nini Bodi watoe pesa kwa zengwe wakati kukata wanachukua kiulaini?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom