Breaking news: Bbc-swahili kufungwa.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
BBC idhaa ya kiswahi itafunga matangazo yake kupitia band ya short wave(SW) mwaka huu. Pia idhaa ya kireno na nyingine nne zinazotanga ulaya mashariki zitafungwa kabisa. Hii inatokana na nakisi (ufinyu) wa bageti wa serikali ya Uingereza. Source: BBC NEWS.
 
tena wafunge milele.

walikuja hapa kutangaza mambo ya uchaguzi wakaanza ku-mastermind watu wa kuwahoji. nakumbuka waliwahi kumhoji mama mmoja raia wa kenya akatoa pumba kwamba kikwete atashinda uchaguzi kwa zaidi ya 80%.

wafunginwe tu. ili wapunguze kusambaza habari za watu wa vijijini (ambao wengi huipata BBC-Swahili kupitia Short Waves)
 
Walishafikia pabaya na kukubali hongo ya ccm hao wafanyakazi wa bbc swahili ili wakitabirie ushindi. Wafie mbali.

:rip:BBC SWAHILI
 
mh,hvi kuna watu bado wanasikiliza matangazo thru SHORTWAVEZ.?
kama sikosei hata hiyo bbc inaporusha kwa fm ni lazima uikamate ktk short wave baadae unaiunganisha ktk radio station nakurusha ktk fm.
 
wafiembali wakina Majura kwni wamekuwa wanazi wa ccm.....nakumbuka wakati wa kampeni walimuhoji bwana mmoja kuhusiana na bajeti ya tz, walipoona mwelekeo ni kuiponda ccm wakakata matangazo waliporudi ile habari haikurudiwa tena. jioni yake jeykey alikuwa na maigizo ya kuhojiana na wahariri akalizungumzia hilo suala la bajeti...
 
BBC idhaa ya kiswahi itafunga matangazo yake kupitia band ya short wave(SW) mwaka huu. Pia idhaa ya kireno na nyingine nne zinazotanga ulaya mashariki zitafungwa kabisa. Hii inatokana na nakisi (ufinyu) wa bageti wa serikali ya Uingereza. Source: BBC NEWS.

Nadhani inapidi nitafute audio ya Amka na BBC halafu nitachangi!
 
BBC idhaa ya kiswahi itafunga matangazo yake kupitia band ya short wave(SW) mwaka huu. Pia idhaa ya kireno na nyingine nne zinazotanga ulaya mashariki zitafungwa kabisa. Hii inatokana na nakisi (ufinyu) wa bageti wa serikali ya Uingereza. Source: BBC NEWS.

BBC World Service!

Radio Broadcasts via Internet/Mobile!
(SW) Range Idhaa ya Kiswahili na Kinyarwanda kufungwa!
 
Back
Top Bottom