Baraza la Mawaziri Limevunjwa! (2008)

Wana Jf mmeona mchango wa wabunge ulivyo kuwa na kuzaa matunda..naomba tujikite kuingiza vifaa bungeni 2010. Tukiwa na bunge lenye watu wenye uwezo na wazalendo serikali haitacheza shere, haitafurukuta. Kwa kuanzia naomba ma wapiganaji kama akin Tundu Lissu, Mama Kijo Bisimba na wengi muwajuao wanaopigania haki za wananchi on daily basis..2010 waingie bungeni kwa wingi kuwapa nguvu akina Zitto, Slaa na wenzao na hata wale wa "kijani mpauko" ambao wameamua kulitumikia taifa pamoja na vitisho vilivyopo.

Please JK..let the next PM be Mr. Magufuli..he will do you a good job.
 
Kwako MH Lowassa.
Mimi binafsi nimekuwa mpiganaji mkubwa nikipiga kelele juu ya Uhabiti wako.
Mungu amekulipa uovu wako, si haki kumlaumu Dr Mwakyembe wakulaumu ni dhamira yako chafu ya kutajirika bila kufanya kazi, na zaidi kutajirika huku ukiweka nchi katika lindi kuu la umasikini, nchi ambayo imekulea hadi umeota mvi ukiwa kijana.

MH sana Mamvi hatimaye umevuna ulichopanda. Ulipanda bangi umevuna bangi. Bangi hailiwi kama mchicha bangi inavutwa katika msokoto. Nakuombea uvutaji mwema, angalie usiwape wanao hiyo misokoto.
Mungu akipenda nitakuja kukusalimu na kukujulia hali ukiwa Keko na kibaka chako kwenye mfuko wa shati.

Buriani ya kisiasa Lowassa.

Ni kweli kabisa, kipindi cha mavuno umefika. Mwakyembe kashamsaidia JK kwa sana tu, hatudhani kuwa JK anaweza kwa mara nyingine kung'oa ngano na kuacha magugu yakimea.
 
Mzee Mwanakijiji

Ndege ya EL imepata pancha na kuanguka tunasubiri mchambuzi aje kuchukua majeruhi kwenye ajali. Habari za kuaminika zinasema ndege hiyo ilikuwa futi 50 tu kutoka usawa wa bahari wakati ikijaribu kutua kwa dharura.
 
Mwakyembe anaweza kuwa rewarded a cabinet post in next cabinet, hasa portifolio ya sheria ambayo ilionyesha kulega katika ripoti ya kamati ya Bunge
 
nyie acheni mawazo ya ajabu.. hawezi kumpa uPM Rostam hata siku moja.. Kwanza huyo Rostam mwenyewe hataki hizo ishu. Ivi mnafahamu Rostam anahela kiasigani... au mnaongea tu. hataki kuwa PM wala nini.. Yeye kitchen cabinet but naskia kuna BEEF katiyao yakiaina. Rostam kasha potezwa. JK alitaka awapoteze hawa jamaa. Ingekua bado anaushikaji nao, msingekua mnashabikia humu ndani ya JF siku ya leo. Kamtumia Rostam via EL kupata Urais sasa anawapiga CHAKA! MEMBE au mtu mwengine kabisa... I will be disappointed if its Membe lakini its most likely that it will be him... with the xcption ya waliotajwa, mawaziri wengine wote watarudi kwenye Baraza. Nikwamba tu ni utaratibu, waziri mkuu anapojiuzulu basi lazma baraza lote lifuate... (ministers) sio VP or PofZNZ na Presdah mwenyewe.

Hii fanaka watu wanayo ionyesha humu ndani is premature.. Ngojeni tuone.
 
Masatu hii mada unaweza usipate thanks...ingikuwa vyema ungempenyezea JJ Mnyika akaimwaga hapa JF..ingepata hits kubwa sana...lkn wewe unajulikana ni mwana CCM damu...
HAPA HAKUNA CHA UCCM WALA CHADEMA MPAKA KIELEWEKA.Jamaa wametuchezea vya kutosha.
 
Hii ni opportunity nzuri sana ya JK kurudisha credibility ya utawala wake ndani na nje ya nchi. Kama jina atakalopeleka bungeni kesho litakuwa ni la fisadi mwingine basi itakuwa ni kama kutwanga maji. Mimi binafsi sijui Mwandosya ni safi kiasi gani, lakini kama JK anataka kuondoa makundi ndani ya CCM (a la mtandao) basi uteuzi wa Mwandosya unaweza kufanikisha hilo. Tusubiri hiyo kesho I hope JF itakuwa hewani...:) maana traffic itakuwa ya kutisha.
 
nyie acheni mawazo ya ajabu.. hawezi kumpa uPM Rostam hata siku moja.. Kwanza huyo Rostam mwenyewe hataki hizo ishu. Ivi mnafahamu Rostam anahela kiasigani... au mnaongea tu. hataki kuwa PM wala nini.. Yeye kitchen cabinet but naskia kuna BEEF katiyao yakiaina. Rostam kasha potezwa. JK alitaka awapoteze hawa jamaa. Ingekua bado anaushikaji nao, msingekua mnashabikia humu ndani ya JF siku ya leo. Kamtumia Rostam via EL kupata Urais sasa anawapiga CHAKA! MEMBE au mtu mwengine kabisa... I will be disappointed if its Membe lakini its most likely that it will be him... with the xcption ya waliotajwa, mawaziri wengine wote watarudi kwenye Baraza. Nikwamba tu ni utaratibu, waziri mkuu anapojiuzulu basi lazma baraza lote lifuate... (ministers) sio VP or PofZNZ na Presdah mwenyewe.

Hii fanaka watu wanayo ionyesha humu ndani is premature.. Ngojeni tuone.
 
Masatu hii mada unaweza usipate thanks...ingikuwa vyema ungempenyezea JJ Mnyika akaimwaga hapa JF..ingepata hits kubwa sana...lkn wewe unajulikana ni mwana CCM damu...

huu unaitwa Uswahili... wenye msingi wa kuchonganisha...Kimsingi ile mada ya Waziri Mkuu isimame peke yake, ile ya mawaziri wengine kujiuzulu na hii ziunganishwe..
 
nyie acheni mawazo ya ajabu.. hawezi kumpa uPM Rostam hata siku moja.. Kwanza huyo Rostam mwenyewe hataki hizo ishu. Ivi mnafahamu Rostam anahela kiasigani... au mnaongea tu. hataki kuwa PM wala nini.. Yeye kitchen cabinet but naskia kuna BEEF katiyao yakiaina. Rostam kasha potezwa. JK alitaka awapoteze hawa jamaa. Ingekua bado anaushikaji nao, msingekua mnashabikia humu ndani ya JF siku ya leo. Kamtumia Rostam via EL kupata Urais sasa anawapiga CHAKA! MEMBE au mtu mwengine kabisa... I will be disappointed if its Membe lakini its most likely that it will be him... with the xcption ya waliotajwa, mawaziri wengine wote watarudi kwenye Baraza. Nikwamba tu ni utaratibu, waziri mkuu anapojiuzulu basi lazma baraza lote lifuate... (ministers) sio VP or PofZNZ na Presdah mwenyewe.

Hii fanaka watu wanayo ionyesha humu ndani is premature.. Ngojeni tuone.

Hii inaitwa domino effect.

Hili ni bomu moja tu limelipuka yakilipuka mengine yalo baki vipi?

Mshikamano wa uovu umesambaratika kila mtu anajishika kidevu na kushindwa kuamini mcho yake.

Yanyokuja ni mengi na yatawakumba waovu wengi.
 
nyie acheni mawazo ya ajabu.. hawezi kumpa uPM Rostam hata siku moja.. Kwanza huyo Rostam mwenyewe hataki hizo ishu. Ivi mnafahamu Rostam anahela kiasigani... au mnaongea tu. hataki kuwa PM wala nini.. Yeye kitchen cabinet but naskia kuna BEEF katiyao yakiaina. Rostam kasha potezwa. JK alitaka awapoteze hawa jamaa. Ingekua bado anaushikaji nao, msingekua mnashabikia humu ndani ya JF siku ya leo. Kamtumia Rostam via EL kupata Urais sasa anawapiga CHAKA! MEMBE au mtu mwengine kabisa... I will be disappointed if its Membe lakini its most likely that it will be him... with the xcption ya waliotajwa, mawaziri wengine wote watarudi kwenye Baraza. Nikwamba tu ni utaratibu, waziri mkuu anapojiuzulu basi lazma baraza lote lifuate... (ministers) sio VP or PofZNZ na Presdah mwenyewe.

Hii fanaka watu wanayo ionyesha humu ndani is premature.. Ngojeni tuone.
-----------------------------------------------------------------
Jamani wewe ndugu, usiue shauku zetu bure hapa! Ni nani kati yetu alitegemea yamfike yalomfika EL leo hii?? Mie huku napiga vigelegele kwa yeye kujiuzulu tu! Mengine yanakuja na tunayasubiri kwa hamu, na sitashangaa kama tutakuwa tukimuongelea yeye akiwa Keko! He deserves what's coming for him! Usimtetee mwovu!
 
kama nilivyosema juzi kuwa LOLOTE LITAKALOTOKEA LINA BARAKA ZA KIKWETE.....ALISHAAMUA KUMTOSA RAFIKI YAKE..

DURU ZINASEMA KUWA UHUSIANO WAO ULIKUWA UMELEGA SANA....NA HII KWA KIASI KIKUBWA INATOKANA NA AMBITION ZA URAIS ZA BAADHI YA WATU...NA PIA KUNA BAADHI YA WASHAURI WA RAIS [MARAFIKI]..WALIKUWA HAWAFURAHISHWI NA UTENDAJI WA PM KUMU OVERSHDOW JK.....

KUNA WALIOKUWA WAKIMPAKAZIA KWA JK KUWA HAFUATI MAAGIZO YAKE..BALI ANAJIFANYIA KAZI KWA UTARATIBU ANAOUTAKA YEYE....

VIONGOZI WENGI WANAPENDA KUWA NA WASAIDIZI DOWN LOW...KAMA WOTE NI MAARUFU KITAKACHOTOKEA NDIO KAMA HIKI CHA JK NA LOWASSA KUVUNJA UBIA RASMI......MKAPA ALIWEZA KUDUMU NA SUMAYE KWA SABABU AINA YA UTENDAJI WAKE ULIKUWA NI WA KUPOKEA MAAGIZO KAMA KAWAWA....

MNAWEZA KUONA MAWAZIRI WAKUU AGRESSIVE KAMA SOKOINE WALIVYOISHIA...HATA MTU KAMA MALECELA ILIKUWAJE!!!

LOWASSA ANA MAKOSA LAKINI LAZIMA MJUE KUANGUKA KWA LOWASSA NDIOO MWANZO WA KUMOMONYOKA KWA NGUVU ZA KISIASA ZA KIKWETE ...NA WATANZANIA WASIWE NA MATARAJIO MAKUBWA KUWA BAADA YA LOWASSA KUONDOKA SASA KILA KITU KITAKUWA SAWA NA MAISHA BORA YANAKUJA...LA HASHA!!!

Mimi nahisi tu kitu kilichomfanya Lowassa aondoke ni hii kashfa ya Richmond. Sasa hapo JK angefanya nini wakati Tanzania nzima ilikuwa na haki ya kuiona ripoti ya Richmond, yaani angelazimishia jamaa abaki?
 
Back
Top Bottom