Breaking news: Ant-chadema wajitokeza kwa wingi.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Tangu Chama tukufu cha Demokrasia na Maendeleo -(CHADEMA) kitangaze na hatimaye kianze maandamano na mikutano ya hadhara humu jf kumejitokeza kundi linalopinga hatua hiyo kwa nguvu zote,limekuwa likitumia lugha mbalimbali za chuki,mara dakika tisini za michezo zimeisha,mara mikutano na maandamano hayana mshiko,mara wao wahamashishe maendeleo(kana kwamba tayari serikali walioichagua ya ccm imekufa!) ninataka niwaambie wanachofanya CDM ni kitu cha msingi sana kwa chama hai cha siasa cha kuendelea kuboresha mahusiano yao na wananchi.
 
hahaaaaaaaaa hili jamvi sio la CHADEMA peke yao kuna CUF,NCCR,nk so acha tu kila mtu ajiachie cha muhimu ni kushindana na hoja zao hao!peoplessssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrr leo tupo musoma
 
Wanaopinga kazi ya Chadema inafaa waitwe "Ant-democracy" na wanaounga mkono kazi ya Chadema waitwe "Pro-democracy".
 
kila mtu yuko wazi kinachotakiwa ni sera na nguvu za hoja tu.
Kama wana hoja ua maana tutawasikiliza na kama hawana basi tutawapotezea tu
wakumuke kuwa leo tuko Musoma kwa Baba wa Taifa
 
we ulifikiri hili ni jukwaa la cdm hapa wapo vyama vyote cha msingi ni kujibu hoja kwa nguvu ya hoja
 
After all hawa wanaopinga wapo hapa kwenye keyboard...wakati cdm wako site, wanaongea na watu, wanawasikiliza, na kutembea nao kwa miguu kupinga dhulma!
So tutaona nani ni nani!
 
hahaaaaaaaaa hili jamvi sio la CHADEMA peke yao kuna CUF,NCCR,nk so acha tu kila mtu ajiachie cha muhimu ni kushindana na hoja zao hao

mkuu wikiliki mi nadhani huu ndio ushauri wa kufuata, vinginevyo utakuwa hujaitendea haki JF kwa kudhani kuwa members wote ni wafuasi wa CHADEMA.
 
Tangu Chama tukufu cha Demokrasia na Maendeleo -(CHADEMA) kitangaze na hatimaye kianze maandamano na mikutano ya hadhara humu jf kumejitokeza kundi linalopinga hatua hiyo kwa nguvu zote,limekuwa likitumia lugha mbalimbali za chuki,mara dakika tisini za michezo zimeisha,mara mikutano na maandamano hayana mshiko,mara wao wahamashishe maendeleo(kana kwamba tayari serikali walioichagua ya ccm imekufa!) ninataka niwaambie wanachofanya CDM ni kitu cha msingi sana kwa chama hai cha siasa cha kuendelea kuboresha mahusiano yao na wananchi.
Waache watoe mawazo yao maana si bure wana kazi nzito ( possibly wamelipwa) ya ku repair image ya RA,serikali na chama tawala kwa wananchi.
 
Wanaopinga kazi ya Chadema inafaa waitwe "Ant-democracy" na wanaounga mkono kazi ya Chadema waitwe "Pro-democracy".

hao wa pili kweli ni pro-democracy, hao wa kwanza nafikiri twendelee kuwaita CCM
 
Sio tu wapinge humu JF kama haki yao na uhuru wa kuchangia unavyowaruhusu, mi nawashauri waitishe na maandamano yao ya kuunga mkono Dowans kulipwa, kuunga mkono bei za bidhaa kupanda na pia wadai katiba hii ya kidumu idumu milele kwani ni haki yao ya kidemokrasia kama wenzao wa CDM. Wasipofanya hivyo tutajua ni wivu tu wa kike, wanaonea wivu hata maandamano ambayo hata wao na wafuasi wao wanaweza kuitisaha na kupewa kibali na polisi bila zengwe.
 
Tangu Chama tukufu cha Demokrasia na Maendeleo -(CHADEMA) kitangaze na hatimaye kianze maandamano na mikutano ya hadhara humu jf kumejitokeza kundi linalopinga hatua hiyo kwa nguvu zote,limekuwa likitumia lugha mbalimbali za chuki,mara dakika tisini za michezo zimeisha,mara mikutano na maandamano hayana mshiko,mara wao wahamashishe maendeleo(kana kwamba tayari serikali walioichagua ya ccm imekufa!) ninataka niwaambie wanachofanya CDM ni kitu cha msingi sana kwa chama hai cha siasa cha kuendelea kuboresha mahusiano yao na wananchi.
Mfa maji haachi kutapatapa. Waache hao ndumira kuwili wajifurahishe tu, watanzania wamekwisha amka, hawadanganyiki tena.
 
Tangu Chama tukufu cha Demokrasia na Maendeleo -(CHADEMA) kitangaze na hatimaye kianze maandamano na mikutano ya hadhara humu jf kumejitokeza kundi linalopinga hatua hiyo kwa nguvu zote,limekuwa likitumia lugha mbalimbali za chuki,mara dakika tisini za michezo zimeisha,mara mikutano na maandamano hayana mshiko,mara wao wahamashishe maendeleo(kana kwamba tayari serikali walioichagua ya ccm imekufa!) ninataka niwaambie wanachofanya CDM ni kitu cha msingi sana kwa chama hai cha siasa cha kuendelea kuboresha mahusiano yao na wananchi.

It is a normal democratic process, CDM wanatakiwa kuchukua positive critics na kuzifanyia kazi (which they are doing ofcourse!) na kutupilia mbali garbage ambayo haisaidii! simple and life goes on.
 
After all hawa wanaopinga wapo hapa kwenye keyboard...wakati cdm wako site, wanaongea na watu, wanawasikiliza, na kutembea nao kwa miguu kupinga dhulma!
So tutaona nani ni nani!
Kupingana na nguvu ya umma sawasawa na kuzuia mafuriko na mikono!
Daima chadema itakuwa mbele siku zote.
 
kama tunataka democracy ya kweli, basi tukubali kwamba kuna kutofautiana.... na pia kama tunataka maendeleo ya kweli, basi tuheshimu mawazo mbadala

sioni tatizo whether watu wanapinga au kuunga mkono maandamano... as long as wana ababu zao

BTW, JF si mali ya chadema, CCM, Kafu au chama chochote, so tutegemee mawazo mbalimbali na fikra tofauti
 
Wanaopinga kazi ya Chadema inafaa waitwe "Ant-democracy" na wanaounga mkono kazi ya Chadema waitwe "Pro-democracy".

Don't it suppose to be 'anti-democracy' instead of 'ant-democracy'? Just being "Curious George"!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom