Breaking news:ajali mbaya mto ruvu maiti 5 zipo chini wengi waumia

Status
Not open for further replies.
RIP marehemu wote na pole sana kwa walio umia.
Tanzania imegeuka kuwa janga kuu la wazawa. Serikali haieleweki imekua kama ya wahuni.
Maisha magumu na kila siku msoto wa zidi yani kila kukicha afadhali ya jana.
Ajali na matukio ya ajabu kama uuaji wa maarubino, uchunaji ngozi, uibaji wa viungo nyeti vya binadamu ndo yamezidi.
Sijui niichukue kauli ya star wa tears of the sun kwamba GOD HAS ALREADY LEFT TANZANIA? AU ANATUPIMA IMANI YAKE KWAKE.
 
nimepata taarifa kuwa zaidi ya watu 30 inasemekana wamepoteza maisha ktk ajali hiyo
nafikiri na mgomo wa mdk ni bora hao 30 wameenda kwa amani na kustareehe kuliko hao waliokatika miguu na viuno inasikitisha wanaenda kutibiwa na nani Mungu fungua njia
 
Habari zilizotufikia hivi punde ajali kubwa imetokea huko mto ruvu ambapo gari aina ya macppolo imegongana na fuso ambapo maiti zaidi ya tano zimeanza kutolewa kutoka kwenye basi huku wengi wakitolewa wameumia vibaya kwa habari zaidi stay tuned
src
cloudsssssssssssssssssssssssssssssssssssss ffmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm the plp statioooooooonnnnnnnnnnnnn

baiskeli, PIKIPIKI, magari dah Mungu tunusuru:shock::shock::shock:
Du jamani siku hizi ukiimaliza siku mshukuru Mungu maana kuanzia troly,
 
1)speed gavana
2)milango ya dharura
3)seat belt
pamoja na driving license duuh maneno meeeeengi.. vitendo F
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom