Breaking news! Abood laua kibaha sasa hivi

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,234
883
Habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba basi la Abood lililokuwa linaelekea Morogoro toka Dar limepinduka Kibaha Maili Moja na limeua watu kadhaa! mwenye habari kamili na idadi atupe Thank you!!
 
Ni kwamba Abood iligonga waendesha pikipiki wawili waliokuwa barabarani na walifariki hapohapo. Lakini nalo lilipinduka na kukawa na majeruhi 35 waliokimbizwa hospital ya Tumbi kibaha na inasemekana wote wameruhusiwa. Hakuna kifo kwa abiria waliokuwemo kwny basi!
 
Nasubiri wakuu wenye kujua limeua wangapi maana hapa nahangaika kupigia simu wadogo zangu walikuwa wanondoka jioni hii kurudi Moro baada ya Harusi!
 
Ni kwamba Abood iligonga waendesha pikipiki wawili waliokuwa barabarani na walifariki hapohapo. Lakini nalo lilipinduka na kukawa na majeruhi 35 waliokimbizwa hospital ya Tumbi kibaha na inasemekana wote wameruhusiwa. Hakuna kifo kwa abiria waliokuwemo kwny basi!

Mkuu thanks a million for this very important news! hhhhhhhhhop! now i can breath! Mungu wawabariki ndugu wa wale wafiwa ktk ajali hii! poleni sana na RIP those poor cyclists.
 
Hii Abood company sijui ina nini kwani mnamo tarehe 1 dec 2010,iliua watu 2 pale misugusu ikapinduka haijatangazwa,jana maeneo ya kibamba shule basi lao likagonga tex,leo maili moja,
 
Ish! Mbona habari hii nimeisikia tangu asubuhi ikidai kuwa basi la Abood kutoka Tunduma ndo lililopata ajali. Which is which au ni calculated mission
 
kuna wenzako, raia wawili, wamekufa, huwezi kusema "now I can breath" sababu ndugu zako wamepona

heartless pinhead

Mkuu thanks a million for this very important news! hhhhhhhhhop! now i can breath! Mungu wawabariki ndugu wa wale wafiwa ktk ajali hii! poleni sana na RIP those poor cyclists.

Iam not sure if i am the one who is pinhead or you are Mkuu! Check that red bit! have a good day!
 
Back
Top Bottom