Breaking!! Kabila Jr, chup chup kupinduliwa.

Pole J.Kabila. Aangalie wacongo wasije wakamfanya kama baba yake manake wacongo wengine wanasema yeye ni Mnyarwanda!!

no problem, JK wa bongo kamtembelea briefly JK wa congo na mazungumzo yalikuwa faragha kwa lugha ya hapa kwetu bongo, ila usisahau makombora yetu mengi yameteketea hivyo kama yeye ana stock ya kutosha anaweza kutusevu kidogo. Ishu ya kupinduliwa haina link, ni just by the way tu!
 
halafu hayo mazungumzo aliyokuwa nao naye, inategemea waliongea nini....maana kama waligombana, huchelewi kusikia oooh,,.....
 
Anusurika kufanyiziwa kama baba yake. Walinzi wake wawa ngangari.

Ni siku chache tu baada ya kutembelewa na mtu mwenye gundu.

Source: Reutuers
Six dead in failed coup attempt - DR Congo | Top News | Reuters
mkuu kweli watanzania tuna gundu popote tulipo...kuna mtu aliniambia ukishakuwa na gamba la kijani ujue una gundu tu....

kabila mkubwa aliuawa baada ya siku 4(?) baada ya kufanyiwa mahojiano ikulu kinshasa na mtanzania tido mhando wa bbc....bwarre of tanzanians
 
Watawala walio wengi africa hawakuingia madarakanik ihalali hivyo wananchi hawawataki

Kwani hao wenye silaha ni wananchi? Kwa mtizamo wangu, wananchi ni kama wale wa Misri na Tunisia, sio genge la watu wasiozidi ishirini (ambao kwa mtizamo wangu ni watu wenye chuki binafsi!!). Wanachi wanaenda bila silaha yoyote - all they go with is their determination, siyo machine guns. Wale wa Misri wangeenda na machine guns hawangeshinda hata kidogo.
 
jMAAA MWENYE GUNDU ANATEMBEA NA GUNDU LAKE,IVORY COAST IMEMSHINDA KAPELEKA GUNDU CONGO

bado hapa
 
Mwenye gundu wewe mwenyewe Ng'wanangwa na mwenzio yoyo. Yaani hata mwalimu Nyerere na dr. Slaa unasema wana Gundu? Ina maana hata mama na baba yangu wana gundu? Shikeni adabu yenu. Hata kama ni chuki binafsi au za kisiasa uzalendo lazima ukae mbele.
 
Pole J.Kabila. Aangalie wacongo wasije wakamfanya kama baba yake manake wacongo wengine wanasema yeye ni Mnyarwanda!!

ni kweli wakongoman baadhi wanadai wakati mama yake anaolewa na kabila Laurent, tayar alikuwa mjamzito wa Joseph, na mamaye katokea rwanda.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom