Wakari anarudi toka Ivory Coast alipitia Kinshasakwani ameenda huko lini tena??
KINSHASA (Reuters)
In a controversial January 15 move, parliament backed proposals by Kabila to reduce the presidential vote to a single round -- scrapping the possibility of a run-off between the two leading candidates if neither has an absolute majority.
The change means the winner can claim the presidency with less than 50 percent popular support and is seen boosting Kabila's chances of victory because of the fragmented state of the opposition.
askali 6 wamekufa hapo hapo, inaonekana ilikuwa imepangwa vizuri sana maana jamaa hakuwepo ikulu..
guess hilo alijifunza wapi la kuondoa uwezekano wa run off? you guessed it kutoka kwa CCM ambao waliondoa na kufuta sheria iliyotoka run off na sasa mtu anaweza kuwa Rais hata akipita asilimia nusu ya kura zote!
kufuta sheria iliyotoka run off........ anaweza kua rais hata akipita asilimia nusu ya kura zote!
Kuuliza c ujinga mwenye gundu ndo nani tena?
Huyo mwenye gundu atakuwa Dakta Mkwere!
guess hilo alijifunza wapi la kuondoa uwezekano wa run off? you guessed it kutoka kwa CCM ambao waliondoa na kufuta sheria iliyotoka run off na sasa mtu anaweza kuwa Rais hata akipita asilimia nusu ya kura zote!
Hilo gundu la 'mkwere' mmeliona baada ya kumchoka? Si zamani sana mlitwambia eti ni 'cguo la mungu'?
.....
kwani ameenda huko lini tena??
Tujuze huyo mtu mwenye gundu ni nani? Duuuuh Mungu amnusuru na mtihani huo.