Breaking!! Kabila Jr, chup chup kupinduliwa.

Anusurika kufanyiziwa kama baba yake. Walinzi wake wawa ngangari.

Ni siku chache tu baada ya kutembelewa na mtu mwenye gundu.

Source: Aljazeera

Mkuu,
Umenichekesha saana, inamaana mwenye gundu ni kama anatawanya virusi akiondoka 'maafa'
 
Watawala walio wengi africa hawakuingia madarakanik ihalali hivyo wananchi hawawataki
 
Tujuze huyo mtu mwenye gundu ni nani? Duuuuh Mungu amnusuru na mtihani huo.

Mwenye gundu ni kiongozi wa taifa tajiri lakini watu wake maskini sana.
Ni nchi ambayo wananchi wake hufa kwa makombora walioyanunua wenyewe kwa kufunga mikanda miaka ya 70.
 
kwani ameenda huko lini tena??

Mkwere baada ya mabomu kulipuka Gomes akaenda Mauritania kusuluhisha mgogoro wa Ivory Coast.Mkwere baada ya kutoka Mauritania akapitia DR Congo kwa J.Kabila kwa mazungumzo mafupi.

Kweli Mkwere ana gundu.
 
KINSHASA (Reuters) - Six people were killed in the Democratic Republic of Congo on Sunday in what authorities said was a failed coup attempt on the presidential palace in the capital Kinshasa.
"We have witnessed a coup attempt," Information Minister Lambert Mende said.
"A group of heavily armed people attacked the presidential palace. They were stopped at the first roadblock. Our soldiers fought with them, arrested some of them and six people were killed."
Mende said the situation was under control and authorities were trying to identify the suspects. No further details on the casualties were immediately available.
Separately, a presidential source said President Joseph Kabila was not in the palace when the attack happened but that he had now returned there and was safe.
Kabila came to power when his father was assassinated in 2001. He faces presidential and parliamentary elections in November this year, the second such polls since the official end of the 1998-2003 war.
In a controversial January 15 move, parliament backed proposals by Kabila to reduce the presidential vote to a single round -- scrapping the possibility of a run-off between the two leading candidates if neither has an absolute majority.
The change means the winner can claim the presidency with less than 50 percent popular support and is seen boosting Kabila's chances of victory because of the fragmented state of the opposition.
 
Mkwere baada ya mabomu kulipuka Gomes akaenda Mauritania kusuluhisha mgogoro wa Ivory Coast.Mkwere baada ya kutoka Mauritania akapitia DR Congo kwa J.Kabila kwa mazunumzo mafupi.

Kweli Mkwere ana gundu.

mmh kazi ipo kama ni kweli
 
Naye ni kama kakaa sana ansubiri nini si astaafu? Akizubaa yaleyale ya babake yatamkuta!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom