Brazili kuisaidia Tanzania na tatizo la umeme.

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Taarifa kutoka Radio One,saa 7:00 mchana.

Waziri mkuu Mizengo Pinda,yupo ziarani nchini Brazili ambako amekutana na waziri wa nishati na madini wa nchi hiyo ili iwasaidie kuondokana na tatizo la umeme hapa nchini.

Waziri wa nishati na madini wa Brazili amekubali kuisaidia Tanzania na kuahidi kuongea na wataalamu wa kufua umeme wa huko Brazili.
 
+cassava planters+cassava harvesters + cassava processers and driers,Know cassava very perishble commodity.
 
brazil wanaweza na uchumi wao kwa sasa upo juu sana. hawababaishi kama wachina.
huenda wakasaidia tusubiri tuone
 
Taarifa kutoka Radio One,saa 7:00 mchana.

Waziri mkuu Mizengo Pinda,yupo ziarani nchini Brazili ambako amekutana na waziri wa nishati na madini wa nchi hiyo ili iwasaidie kuondokana na tatizo la umeme hapa nchini.

Waziri wa nishati na madini wa Brazili amekubali kuisaidia Tanzania na kuahidi kuongea na wataalamu wa kufua umeme wa huko Brazili.

Mwisho wa siku yeye sio mwenye maamuzi kwa hiyo asiwe anaropoka halafu maamuazi yote yapo kwa Vasco da Gama pori
 
Back
Top Bottom