Brazil vs taifa stars mapato sh ngapi tff??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,882
21,956
Mmhh
kama nakuona mwakabela unavyohangaika,,na ile hati ya karume
pole sana najua amkusoma nyakati kujinufaisha anyway
hivi tumezoe kusikia just a week mapato ya viingilio lakini sijui
kunani mpaka sasa mapato ya mechi ya tff sh ngapi jamani
wadau msaada
 
Wamesema hasara ni Sh 1.6 billion lakini mapato waliyoyapata na kiasi cha pesa walizolipwa Brazil ni SIRIKALI maana wanaficha ili MKUU asiadhirike.
 
Wamesema wameingiza sh 1.7Bilion.
Ni pesa ambazo hazijawahi kuingizwa tangu soka lianzishwe Bongo ingawa TFF imepata hasara.
 
wamesema hasara ni sh 1.6 billion lakini mapato waliyoyapata na kiasi cha pesa walizolipwa brazil ni sirikali maana wanaficha ili mkuu asiadhirike.

sirikali

nimeipenda hiyo mkuu naweza kuitumia kwenye avator
yaani ni aibu nilikuwa nasmikia jaamaa mmoja wa tff anadai hasara tupu...nikajiuliza hivi huyu raisi alileta brasil apige nao picha ama kama ulisikia baada ya mechi walipelekwa ndani akawa anapiga na wakina kaka,..robinyo kama ana akili nzuri...great presidaa
 
Back
Top Bottom