Brazil, njaa za wahdzabe, kulala chini wajawazito lipi muhimu kushugulikiwa?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Nikisema hii serikali imejaa vichaa huwa nasema naomba msamaha kwanza
kwa kweli bilion 3 kuwaleta brasil masaa 24 wanaleta ni ni humu ndani kiasi cha kuwalipa hizo pesa....wahazabe wameonyeshwa jana wanakufa na njaa...wajawazito wanakufa jamani mahospitalini wanalala chini kukosa kitanda cha sh 35 alfu leo hii serikali chafu inathubutu kuwalipa bilion 3 brasil binadamu kama sisi huku wazazi wetu madada zetu wakifa jamani
huu si upuuzi???akili zao zimejaa mchanga mtupu
 
Da! hivi kumbe zinatumika Bilioni tatu?
Lakini kama viingilio vitapatikana pesa ya kuzidi bilioni tatu kuna ubaya?
 
At times we need to refresh and enjoy our moments.
Sio kila kitu unafikiria kupelekea wenye shida, kwa dizain hyo hatuwezi kufika.

Tunakubali kwamba watanzania wengi wanashida za basic needs, ila kuna wale ambao wameshavuka hiyo level ambao needs zao ni kuwaona Brazil, ambao ukiwakatalia hapa, wataenda kuwaona SouthAfrica. Matokeo yake tutakosa kila kitu, kuanzia huo mzunguko wa billion 3 mpaka faida ambayo itapatikana.

Let's think logically!
 
Kwanza mkuu hizo bilioni tatu unazosema ni kwamba serikali imeweka "bond" kwa TFF ili hao TFF wakishapata kupitia viingilio wanarudisha hiyo pesa kwa serikali, na isitoshe lazima tupate muda wa kuburudika mie natamani sana ningekuwa TZ siku hiyo lazima ningeingia kuangalia kandanda.
Mkuu hayo ndo mambo ya jamii kuna misiba , kuna sherehe pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom