Bravo JK kuwatolea nje Balozi shoga wa Uingereza!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
Nilikuwa nasikiliza redio moja ya hapa jijini mchana huu na kati ya mambo yaliyojiri ni utambulisho wa Balozi mmoja mgeni wa Uingereza ambaye nchi yake ilimteua ili aje awe Balozi hapa kwetu.

Balozi huyo shoga kaoa mwanaume mwenziwe. Mambo ya nje kuona hii ni issue hot ilimpelekea JK suala hili na kulingana na Waziri Membe JK alistushwa na kutamka "Yallahi toba!!!' Baadaye akakataa katakata kumpokea Balozi huyo.

Nampongeza JK kwa hilo, limetudhalilisha sana swala la huyu David Cameron kutaka kutushutisha ushoga wao nchi za Dunia ya Tatu

Source :East Africa Radio-Zembwela na Baruti
 
hahahaaaaaah Kikwete aliwahi kusema hawezi kukaa hapa kujenga nchi na kula nasi mihogo, yeye anapanda ndege kwenda kuhemea ili sisi Watu wake tuendelee kufaidi , hahaaaah sasa Mpango mzima kubinuana na kubinjuana ...!
Kikwete hana kiburi wala uwezo wa kuwakatalia wazungu mahitaji yao.
 
inawezekana hili ni kweli na lilitokea kabla ya cameron kuongea baada ya balozi wao kurudishwa home
 
hawezi kufanya hivyo mkuu,hana ubavu wala capacity,kwani yeye ni nani mpaka akatae haki za binadam?
 
inawezekana hili ni kweli na lilitokea kabla ya cameron kuongea baada ya balozi wao kurudishwa home
Lazima tumuunge mkono JK kwa hili, washenzi hawa wanatudhalilisha.
Mtu mshenzi ni yule asiye na utamaduni unaokubalika katika jamii, hili la waingereza linazidi hapo.
 
Nilikuwa nasikiliza redio moja ya hapa jijini mchana huu na kati ya mambo yaliyojiri ni utambulisho wa Balozi mmoja mgeni wa Uingereza ambaye nchi yake ilimteua ili aje awe Balozi hapa kwetu.
Balozi huyo shoga kaoa mwanaume mwenziwe.
Mambo ya nje kuona hii ni issue hot ilimpelekea JK suala hili na kulingana na Waziri Membe JK alistushwa na kutamka "Yallahi toba!!!'
Baadaye akakataa katakata kumpokea Balozi huyo.
Nampongeza JK kwa hilo, limetudhalilisha sana swala la huyu David Cameron kutaka kutushutisha ushoga wao nchi za Dunia ya Tatu
Source :East Africa Radio-Zembwela na Baruti
Inawezekana ni kweli maana Kikwete hataki kabisa mambo ya kishoga ni heri uoe wanawake wengi kuliko shoga mmoja.
 
Raisi wa Ghana na na msemaji wa serikali ya Uganda wamehojiwa na BBC na kuweka wazi kuwa hawapo tayari kuzalilisha utu na utamaduni wa mwafrika eti misaada kama ni hivyo wabaki na fedha zao,

SOMA HAPA

_56433932_ja.jpg

"President John Atta Mills says Ghana's values are different from those in the UK"

Ghana's President John Atta Mills has rejected the UK's threat to cut aid if he refuses to legalise homosexuality.
Mr Atta Mills said the UK could not impose its values on Ghana and he would never legalise homosexuality.
UK Prime Minister David Cameron said at the weekend that aid would be cut to countries which failed to respect gay rights.
Uganda also rejected the threat, with an official accusing the UK of showing a "bullying mentality".
Most Africans argue that homosexuality violates their religious and cultural beliefs.
Mr Atta Mills said Mr Cameron was entitled to his views, but he did not have the right to "direct to other sovereign nations as to what they should do".
He said Ghana's "societal norms" were different from those in the UK.
"I, as president, will never initiate or support any attempt to legalise homosexuality in Ghana," Mr Atta Mills said.
'No compromise' On Monday, Ugandan presidential adviser John Nagenda said Mr Cameron was showing a "bullying mentality" and Ugandans would not tolerate being treated like "children".
" Quote
If that aid is going to be tied to things that will destroy the moral fibre of society, do you really want that?"
End Quote Koku Anyidoho Ghana's presidential spokesman

"If they must take their money, so be it," Mr Nagenda said.
Mr Cameron said he had raised the issue of gay rights at last week's Commonwealth Heads of Government Meeting in Perth, Australia.
Ending the bans on homosexuality was one of the recommendations of an internal report into the future relevance of the Commonwealth.
Mr Cameron's threat applies only to one type of bilateral aid known as general budget support, and would not reduce the overall amount of aid to any one country, correspondents say.
Ghana received bilateral aid from the UK of about £90m ($144m) during the last financial year, of which about £36m was as general budget support.
Mr Atta Mills' communications chief Koku Anyidoho told the BBC the government would not compromise its morals for money.
"If that aid is going to be tied to things that will destroy the moral fibre of society, do you really want that?" he told the BBC's Focus on Africa programme.
Mr Cameron said he had spoken with "a number of African countries" and that more pressure had been applied by UK Foreign Secretary William Hague, who deputised for him during parts of the Commonwealth summit.
Some 41 nations within the 54-member Commonwealth have laws banning homosexual acts.
Many of these laws are a legacy of British colonial rule, correspondents say.

SOURCE BBC News - Ghana refuses to grant gays' rights despite aid threat
 
Inawezekana ni kweli maana Kikwete hataki kabisa mambo ya kishoga ni heri uoe wanawake wengi kuliko shoga mmoja.

katika mambo yote ninayomsifu rais wangu ni hili la ujogoo!! nadhani nchi za africa zinapaswa kutoa tamko hata ikiwezekana zitangaze kujitoa common weath.
 
The Comeroon pressure is a stupid ideology to the world and is a threat to peoples Beliefs and traditions,Not only his urguement is leading him to be sawn assunder by the Might God,But his political atmosphere and respect is damaged,he has expelled the Blessing of Uk thta God had Bestowed,the respect of Englsh has been Turnished and soon the regime will loose focus,The history shows that no single ruler persisted after rebellion and great apostacy inj the word of God
 
hahahaaaaaah Kikwete aliwahi kusema hawezi kukaa hapa kujenga nchi na kula nasi mihogo, yeye anapanda ndege kwenda kuhemea ili sisi Watu wake tuendelee kufaidi , hahaaaah sasa Mpango mzima kubinuana na kubinjuana ...!
Kikwete hana kiburi wala uwezo wa kuwakatalia wazungu mahitaji yao.
\
bora kuhemea siyo KUHEMEWA!
 
Na bado kuna wengine wananunua majengo mengi kuleee wakifikiria kutakuwa kwema baada ya kustaafu. Nyumbani ni nyumbani ugeni hauna mazoea
 
kama huyu mzaliwa wa Msoga kaishindwa pressure ya kuwavua gamba wezi, ataweza kukomaa na Cameroon, hawezi huyu jamaa ,
 
JK alistushwa na kutamka "Yallahi toba!!!'
Baadaye akakataa katakata kumpokea Balozi huyo.

KAMA NI KWELI, NI suala la kusubiri na kuona. Sina uhakika wa kuweza kumuamini kiasi kikubwa sana Kikwete, lakini kama ndivyo ntashukuru Mungu kwa hili.
 
Hatuna haja ya kumdhihaki JK kwa hili kama amekataa tumuunge mkono na hata kama atalikubali baadaye watanzania tupinge kwa nguvu zote,JK punguza safari tutumie mali asili zetu tuachane na mashoga hayo.
 
hawezi kufanya hivyo mkuu,hana ubavu wala capacity,kwani yeye ni nani mpaka akatae haki za binadam?
Tobaa! Haki ya kwenda kinyume cha maumbile!!!!!?? Cameroon aachwe na ngawila zake nasi tubaki na utu wetu...kwani msaada lazima uingereza tu! mbona bado kuna wafadhili wengi na wa maana kuliko hao.
 
tia chaka mashoga wote hawana mpango.MR.GAY CAMERON usituletee mambo yenu ya huko shuwaini wewe.Nalog off
 
Lazima tumuunge mkono JK kwa hili, washenzi hawa wanatudhalilisha.
Mtu mshenzi ni yule asiye na utamaduni unaokubalika katika jamii, hili la waingereza linazidi hapo.
Unavyotamka kwamba washenzi tuwakatalie, unazo pesa za kukidhi bajeti yako ya nchi? Hujui kwamba huyo JK unayemsifia ndiye anayefanya umatonya kila siku kwa hao unaowaita washenzi ili apate support ya bajeti yake?
 
Back
Top Bottom