Brave israel female soldiers!! They are deadliest!

Achilia mbali udini n.k. lakini sikutarajia Mtanzania awasifie hao wauaji wakubwa...wameshateketeza roho za binadamu wapatao 180 hadi kufikia leo wakiwemo watoto wachanga...malaika wasiojua chochote!! Kumbe hata Bongo tunao machinjachinja kibao labda hawajapata fursa tu!!
 
Last edited by a moderator:

Ushikwapo shikamana. Wanalipiza kisasi na kumuangsmiza adui, nawaunga mkono
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom