Brandy ????

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
wataalum wa afya naombeni msaaada wenu hapa
kwa muda wa siku tatu nilikuwa na mafua makali
kichwa kilikuwa kinaniuma, blocking nose, koo lime
kauka na linakwaruza kila nilikila chochote..
binafsi napenda kunywa Spirits every now and then..

jana nikachukua kama shots tano za Brandy
(Chatelle Rare old french Brandy) leo
koo limefunguka, pua imeachia upande mmoja
nimeanza kunusa na kupata ladha ya chakula..
Je Brandy ni dawa ya mafua au ni nini tena??

Asanteni sana
AD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom