Brand new...

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Assylum waleikum ndugu zangu waislam, na Bwana asifiwe kwa ndugu zangu wakristo. ma bibi na ma bwana, naomba mnipokee kwa mikono yote.
 
Kwa adabu uliyokuja nayo nani atapinga kuingia kwako? Jisikie upo humu humu. Karibu sana.
 
Hapa hakuna kupokeana kwa mikono, hapa unaingia kwa vidole (key board) na unapokelewa kwa vidole. Karibu sana, kwa vidole vyote.
 
Kwa adabu uliyokuja nayo nani atapinga kuingia kwako? Jisikie upo humu humu. Karibu sana.

Unaona hilo neno lake la kwanza alivyochakachuwa salaam za kiIslaam halafu unasema kaingia kwa adabu? Ama kweli!
 
Assylum waleikum ndugu zangu waislam, na Bwana asifiwe kwa ndugu zangu wakristo. ma bibi na ma bwana, naomba mnipokee kwa mikono yote.

Kwanza tunakutaka ushike adabu yako na kufuta hiyo salaam ulivyoichakachuwa, hapo unaingilia dini na imani za watu.
 
Aksanteni sana wana jf, majimshindo, samahani sana kama nimekukwaza, bt mi binadamu pia nilikosea o kuteleza, bt nashukuru nilieleweka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom