brand new Laptop needed! my budget is 680,000

elank54

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
479
21
Nahitaji laptop mpya ya kununua , iwe HP or DeLL onLy!! 680,000 is available !! 0688 06 10 10
 
Duka gani? La nyumban kwenu au?
Kuwa mstaarabu kaka hapa sio sehemu ya wahuni jamaa kakwambia ukweli kuwa nenda dukani akimaanisha kwa hiyo bei utapata laptop mpya dukani sasa kwanini utake uuziwe kutoka kwa mtu binafsi,ambaye keshaitumia hiyo laptop
 
Mkuu, nimepost nahitaji laptop MPYA sijasema used !! Maana hata watu wanakua nazo mpya sio madukan peke ake , kwa msaada zaid jina la duka lingesaidia sio kunjib kinyemela tu!!!
 
Kama upo dar nenda CHEAP COMPUTERS, kariakoo, uhuru street karibu na round about!
 
pia nenda xtreme computers kama upo dar ipo opposite na total kariakoo ie uhuru road kma waenda mnazi 1 mkono wa kulia,utapata hp 630 series kwa hiyo bei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom