shukrani kwa ushauri ndugubwana suala la laptop nzuri ni relative. Mfano hp huwa zinasifika kwa kuchemsha yaani feni huwa inamatatizo. Pia na huwa zina tatizo ya motherboard. Kwenye laptop hasa inategemeana unataka kufanya nini na bajeti yako ikoje. Nenda kwa high performers na kisha inategemeana na ulipo ukiweza kata hata insurance ya 3 years na uhakikishe unaponunua inakuwa na warranty. Ila hapa bongo, nyingi ni refurbrished, ikiwezekana order kwa manufacturer. Mie i will go for dell kama nina bajeti ya kutosha au mac
hata ukinunua apple ambayo ni ya marekan utakuta imeandkwa designed in carlifonia assembled in china...kama ndo unanunua kwa kuangalia hvo umeumia..kwn v2 vyte vya china ni fek?ujanja wako tu...kama vip chukua macbook pro...
gharama ya macbook inaendaje?
Wakuu naombeni msaada wa brand nzuri ya kununua laptop, maana hizi brand karibu 90% zinatengenezewa china, nimejaribu compaq (presario) kimeo, accer nayo imeharibika mapema, kuna watu wananishauri dell, lakini zote made in china, msaada wenu waungwana!