Brain za Prison Break

Nyamtala Kyono

Senior Member
Sep 23, 2010
163
34
kwa maoni yangu hawa jamaa wana akili sana
1. michael scofield
2. alexander mahone
3. t-bon

wewe una maoni gani?
 
mwenye akili ni mtizamaji. Jaribu kuangalia prison break ukiwa umelewa sana
avatar13443_6.gif
Unamatch na avatar.
 
Hakuna mwenye akili unayoifikiria wewe kati ya hao uliowaandika ila unachokiona kama ni uwezo wao mkubwa wa akili wameumbiwa na mtunzi pamoja na director wa hiyo series. Mfano Michael Scofield, amembwa kama mtu mwenye ujuzi mkubwa katika fani ya uhandisi na unaweza ukadhani amesoma na kuhitimu shahada ya juu ya Uhandisi. Ina ukweli ni kuwa . "He graduated from Princeton University completing his bachelor's degree in English Literature". source:Wentworth Miller - Wikipedia, the free encyclopedia. Mi ninacho weza kuchangia hapoa ni kuwa hao jamaa wote uliowaandika hapo juu wanauwezo mkubwa sana wa kuigiza, ila pamoja na uwezo huo wameza kuupiga msasa au kukipiga msasa kipaji chao walicho nacho kwa kwenda shule and therefore their talent is supplemented by their educational background. Kitu ambacho ni nadra sana kukikuta kwa waigizaji wetu wa Nyumbani. Hebu fikiria mtu kamaliza darasa la saba alafu unampa scene ambayo itamkata yeye aigize kama lawyer...Hata iweza hata kama atahudhuria mahakamani mara mia ili kujifunza kile mawakili wanacho kifanya. Alafu kitu cha pili ni kuwa wenzetu wale wanavyoigiza hujua kama wanaigiza unaona kama ni uhalisia na ndio maana unaweza kuhadaika kuwa Scofueld ni Mhandisi kumbe sio. Ila huku kwetu mtu anaigiza afu anaigiza kuigiza...unamwona kabisa jamaa anaigiza hapa. Tunasafari ndefu waungwana
 
Mkuu hakuna kilaza humu ndani kuamini kuwa wale watu ndo walivyo katika maisha yao ya kawaida( Though wakati wa kuchagua characters huwa waanajaribu kumatchisha characters na uhalisia wake) So hapa I think kinachoongelewa ni uwezo waliouonesha mle ndani imagining t's ril..!!
I think t's jst like tht..! Am ready to be corrected...!!
 
Hakuna mwenye akili unayoifikiria wewe kati ya hao uliowaandika ila unachokiona kama ni uwezo wao mkubwa wa akili wameumbiwa na mtunzi pamoja na director wa hiyo series. Mfano Michael Scofield, amembwa kama mtu mwenye ujuzi mkubwa katika fani ya uhandisi na unaweza ukadhani amesoma na kuhitimu shahada ya juu ya Uhandisi. Ina ukweli ni kuwa . "He graduated from Princeton University completing his bachelor's degree in English Literature". source:Wentworth Miller - Wikipedia, the free encyclopedia. Mi ninacho weza kuchangia hapoa ni kuwa hao jamaa wote uliowaandika hapo juu wanauwezo mkubwa sana wa kuigiza, ila pamoja na uwezo huo wameza kuupiga msasa au kukipiga msasa kipaji chao walicho nacho kwa kwenda shule and therefore their talent is supplemented by their educational background. Kitu ambacho ni nadra sana kukikuta kwa waigizaji wetu wa Nyumbani. Hebu fikiria mtu kamaliza darasa la saba alafu unampa scene ambayo itamkata yeye aigize kama lawyer...Hata iweza hata kama atahudhuria mahakamani mara mia ili kujifunza kile mawakili wanacho kifanya. Alafu kitu cha pili ni kuwa wenzetu wale wanavyoigiza hujua kama wanaigiza unaona kama ni uhalisia na ndio maana unaweza kuhadaika kuwa Scofueld ni Mhandisi kumbe sio. Ila huku kwetu mtu anaigiza afu anaigiza kuigiza...unamwona kabisa jamaa anaigiza hapa. Tunasafari ndefu waungwana
Hapa anazungumziwa Michael Scoffield na sio Wentworth Miller, upo hapo?
 
Scoflield alikuwa kama actor Mkuu na alicheza vizuri, lakini TBAG ndio aliyecheza vizuri zaidi kwenye nafasi yake, scene almost zote alizocheza zilikuwa zinauhalisia zaidi ya hata zile za Michael
 
mahone kacheza vizuri sana i guess zaid hata ya huyo scofield...they were almost equal only that mahone can shoot a bullet...T-bag ni mbishi sana kila binadamu akiwa mtata vile sijui dunia ingekuaje (kumbuka alipiga nyama ya mtu jangwani)
 
Kiukweli wahusika wote ndani ya hiyo series walitumia nafasi zao kwa %100, only that wengine scene zao zilikuwa chache. Sana sana mapungufu yalionekana kimfumo zaidi sehem chache na ndio maana waandaaji walitumia akili ya ziada kuweka matangazo kuwa viewers' discretion is allowed. Mfano sehem ambapo t bag kala nyama ya mtu. Pia pale ambapo wanatoroka gereza la no man's land
 
Back
Top Bottom