Brackberry Kwisha!!!

Tatizo hizo iPhone na Android hazikai na charge muda mrefu,sasa na huu umeme wa kuungaunga si balaa hilo!Blackberry zitazidi kuwa juu tu!
---Believdat---
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Tatizo hizo iPhone na Android hazikai na charge muda mrefu,sasa na huu umeme wa kuungaunga si balaa hilo!..
Kweli mkuu haya 'masimu' ikija kwenye suala la charge/battery ni kizungumkuti. Nadhani kunahitajika mapinduzi katika technolojia ya battery za simu........kwa kuanzia angalau kungeweza kuwa na namna ya kutumia solar energy ku-recharge (kama baadhi ya calculator zilivyo).
 
nilikuwa nataka kununua black berry so inabidi nijipange upyaaaa...smart4nes bado ni deal ....ok
 
Kweli mkuu haya 'masimu' ikija kwenye suala la charge/battery ni kizungumkuti. Nadhani kunahitajika mapinduzi katika technolojia ya battery za simu........kwa kuanzia angalau kungeweza kuwa na namna ya kutumia solar energy ku-recharge (kama baadhi ya calculator zilivyo).

Hata mimi nakuunga mkono ndugu yangu!
 
Smartphones zote linapofika suala la charge zinatia uvivu sana, kila siku iko kwenye moto, arrrrrrrrrgh! Simu wacha iwe simu tu, mambo mengine malizia kwenye iPad! Asante sana Marehem Jobs
 
Duu kwahyo BB itakua kama kopo RIM wakisalenda? I don't think so watauzia wachina mambo yataenda mchibuyu.
 
Guys,kwenye biashara hasara ni jambo la kawaida kabisa
Sijaona jambo la kushangaa hapa hata kidogo.
OTIS
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom