brac kazi

the so called ANNA PITA ni tapeli wa kimataifa, mi nilienda kwenye hizo ofisi zao hapo makonde na nikakutana na HRO wao akasema hawajatangaza kazi na hakuna ishu ya kulipa elfu kumi wala nini. huyu dada njaaaaaaa tu imekamata.

Na huyo HRO akasisitiza kua huwa wakitangaza utoa kwenye magazeti kwa kufuata utaratibu. na akanambia sio mimi tu niliekwenda hapo kutaka form watu kibao wamefika hapo na kujulishwa kua ni utapeliiiii
 
Duh!i new it
 
Back
Top Bottom