BP waanza kuuza mafuta serikali YAGWAYA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Katika hali ambayo haikutegemewa compuni ya BP Tanzania imeaanza kuuza
mafuta yake katika vituo vyake. Leo tarehe 22.08.2011 kituo chake kilicho karibu na Bank M
wameanza kuuza mafuta. Kama unapita pale sasa hivi kuna magari mengi ya kibarozi na serikali na
raia wa kawaida wanajaza mafuta,

Jana 21.07.2011 kituo cha mwenge walifungua mpaka sasa wanauzi mafuta kwa kwenda mbele, kabla
hawajauzi jana niliona fundi anapanda juu kutoa nembo ya "BP" ili wasema walikuwa wanatumia nembo nyingine

Hivi kwanini serikali hii wanajizalilisha??
kwani hii serikali inakuwa Legelege???
 
Mkuu, BP hawakuzuiwa kuuza mafuta kwenye filling stations zao. Ewura walisimamisha leseni yake ya biashara ya jumla na hawaruhusiwi kuuza mafuta kwa jumla. Hizi filling station zinaruhusiwa kununua mafuta kwingine na kuendelea na biashara kwa sababu zenyewe hazikuhusiak an adhabu ya BP. na kama haufahamu, vituo vingi hivi vya kujaza mafuta havimilikiwi na BP moja kwa moja, ni vituo vya watu binafsi ambao wana mkataba na BP wa kutumia nembo yao ya biashara
 
usikurupuke soma masharti waliyopewa!!!
 
Usiwe na kiherehere cha kukimbilia JF kabla ya kufanya utafiti.Kwenye nyekundu umejipiga ngwala kabla hata ya kufikisha ujumbe jamvini.
 
Mkuu, BP hawakuzuiwa kuuza mafuta kwenye filling stations zao. Ewura walisimamisha leseni yake ya biashara ya jumla na hawaruhusiwi kuuza mafuta kwa jumla. Hizi filling station zinaruhusiwa kununua mafuta kwingine na kuendelea na biashara kwa sababu zenyewe hazikuhusiak an adhabu ya BP. na kama haufahamu, vituo vingi hivi vya kujaza mafuta havimilikiwi na BP moja kwa moja, ni vituo vya watu binafsi ambao wana mkataba na BP wa kutumia nembo yao ya biashara
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
<br />
Na wewe bana. Kwani ni kipi walizuiliwa? Ni kuuza jumla ama rejereja? Mimi nilivyowaelewa Ewura bubu ni kwamba BP wamezuiliwa kuuza mafuta yake ya petrol, diesel na ya taa kwa reja reja na badala yake wataruhusika kuyauza jumla kwa makampuni mengine ambayo hayo ndiyo yatauza rejereja.<br />
.
 
BP ni mradi wa serikali hawakutaka ku-disclose their interest to the public. Ni vizuri serikali kuweka wazi miradi yote ili watanzania waijue na siyo kufanya kama magendo! vinginevyo tutakuwa na tafisiri kwamba watu wanatumia serikali kufanya biashara zao binafsi.
 
hili la Bp limetushangaza wengi,na hakuna anaefatilia kwani hakuna agizo la serikali lilotimizwa! Wameendelea kuuza mafuta na majuzi nilikuwa airport nikashuhudia!
 
hapa nipo BP mwenge najaza mafuta! Mbona hii ni habari kubwa waandishi wetu mbona hawaoji?
 
Kwa kifupi tu, vituo vya mafuta vya BP havikuzuiwa kuuza mafuta,hivi hamkulielewa hili. Toka lini selikari ikajipiga marufuku!!!.BP ilizuiwa kuagiza mafuta tu, akili kumkichwa!, mlishaambiwa selikari hewa hii, mnataka msadikishwe namna gani???..
 
Mkuu, BP hawakuzuiwa kuuza mafuta kwenye filling stations zao. Ewura walisimamisha leseni yake ya biashara ya jumla na hawaruhusiwi kuuza mafuta kwa jumla. Hizi filling station zinaruhusiwa kununua mafuta kwingine na kuendelea na biashara kwa sababu zenyewe hazikuhusiak an adhabu ya BP. na kama haufahamu, vituo vingi hivi vya kujaza mafuta havimilikiwi na BP moja kwa moja, ni vituo vya watu binafsi ambao wana mkataba na BP wa kutumia nembo yao ya biashara

Hapa dar es salaam Bp filling station zote zinamilikiwa na BP wenyewe mkoan ndo other comp wanatumia nembo yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom