BP out of business?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Wakuu vituo vya mafuta vya BP inaonesha vinamilikiwa PUMA hivi sasa. sifahamu kama ni Tz tu.nini inaweza kuwa sababu iliyowakimbiza hawa jamaa? pengine kuna wadau wanafahamu ukweli.
 
Ulikuwa hujui kuwa kampuni imefilisikaikiwa imechangiwa na kulipa fidia kubwa kwa mafuta yalimwagika baharini

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Umechelewa kidogo kugundua hilo, ni miezi isiyopungua minne. Now serikali na PUMA wamegawana shares za iliyokuwa BP
 
Back
Top Bottom