BP news: R Vanpac kuondoka Arsenal!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Kocha Arsenal wenga ametangaza rasmi kuwa R. vanpac na walcot wanauzwa .Poleni sana wazee wa presha a.k.a wazee wa subira!
 
Ndio tatizo la kuwa na wamiliki wa timu (Wamarekani) ambao hawajui chochote kuhusu Football walichokiweka wao mbele ni kumaximize faida yao bila kujali matokeo ya timu uwanjani...Yaani zaidi ya nusu ya 1st eleven wa GUNNERS wameuzwa katika kipindi cha miaka mitatu au minne!!! Kolo, Adebayo, Nasri, Galla, na sasa VP na Walcott
 
hahaaaaaa washabiki wa arsenal mbonamtakufa kwa bo mwaka huu
 
Ndio tatizo la kuwa na wamiliki wa timu (Wamarekani) ambao hawajui chochote kuhusu Football walichokiweka wao mbele ni kumaximize faida yao bila kujali matokeo ya timu uwanjani...Yaani zaidi ya nusu ya 1st eleven wa GUNNERS wameuzwa katika kipindi cha miaka mitatu au minne!!! Kolo, Adebayo, Nasri, Galla, na sasa VP na Walcott

Cash rules everything around us...wu tang clan
 
Ndio tatizo la kuwa na wamiliki wa timu (Wamarekani) ambao hawajui chochote kuhusu Football walichokiweka wao mbele ni kumaximize faida yao bila kujali matokeo ya timu uwanjani...Yaani zaidi ya nusu ya 1st eleven wa GUNNERS wameuzwa katika kipindi cha miaka mitatu au minne!!! Kolo, Adebayo, Nasri, Galla, na sasa VP na Walcott

BAK unataka kuniambia hizi habari ni za kweli?!
 
Aisee habari hizi zimeandikwa na BBC pia (Arsenal finally admit they will sell forward Robin van Persie, 28, for £30m - and Gunners winger Theo Walcott, 23, could follow him out of the door) katika ile page maarufu wakati huu "Transfer Gossip" lakini wote walioondoka GUNNERS habari zilianzia katika page hiyo kabla ya kuthibitishwa rasmi na AW.

Hii maana yake ni kwamba tumeamua kuridhika na ushiriki tu na kuachia wengine ushindani? Haiingii akilini kuuza silaha zako muhimu wakati unategemea kwenda vitani karibuni!!
 
Chamakh, Giovinho, Ramsey na wengine watapambana vilivyo na timu msimu ujao tutachukua champions league........au sio?
 
Back
Top Bottom