BP ceases its Tanzania operations

Prodigal Son

JF-Expert Member
Dec 9, 2009
1,067
697
BP ceases its Tanzania operationsBy The Citizen Reporter and Agencies

BP Africa�s Chief Executive Sipho Maseko announced on Tuesday that BP was quitting the Tanzanian market following a strategy review that would see it concentrate all its efforts in strategic countries such as Angola, Mozambique, South Africa, Algeria, Egypt and Libya. Except South Africa, the rest are oil and/or gas producing countries. BP has also ceased operations in Namibia, Malawi, Zambia and Botswana.

�I would like to stress that BP is and will stay committed to Africa,� BP Africa�s Chief Executive Sipho Maseko said in a statement released on Tuesday. �We have significant operations in Angola, Mozambique and South Africa and in Algeria, Egypt and Libya. We will continue to grow and invest in those markets, especially in the value chain infrastructure,� he had added.

The decision is likely to affect Tanzania�s petroleum marketing industry as the company has often played a significant and pioneering role. But to what extent that effect will play itself out cannot now be established now. Until recently, BP Tanzania has had a 35 per cent market share in both the retail and service stations and about 70 per cent in aviation. In Zanzibar it has been controlling the aviation fuel market by about 100 per cent.

The director general of the Energy and Water Utilities Regulatory Authority Mr Haruna Masebu declined to comment on how BP�s decision would affect the downstream petroleum industry in Tanzania. He said Ewura had not received any notification on BP�s decision and until that notification was received it would be premature to say anything. �We will ultimately comment on BP�s decision but we have not yet received any official communications on the matter.

Talking about it now would be just speculating,� he told The Citizen in an interview yesterday in Dar es Salaam. He however observed that since the company was a joint venture between BP group and the Tanzanian government, their departure would not translate into complete shut down in the country.

Mr Masebu said that BP has already notified the Tanzanian government and other governments included in the pullout but when contacted the Tanzanian government officials said they were still unaware of the issue. Mr Prosper Victus, Head of Petroleum and Gas Section at the ministry of Energy and Minerals, said he had not seen any official documents concerning the issue.

�I am not aware of the issue. The ministry might have been informed already but the information is not yet on our desk,� he told The Citizen by phone yesterday. The ministry's acting Permanent Secretary, Mr Invocavit Swai, was in a meeting when reached yesterday and he could not comment on the issue.

The minister of Energy and Minerals Mr William Ngeleja could not be reached as his phone went unanswered and could not reply to a text message sent to him from The Citizen. However, the deputy minister for Energy and Minerals Adam Malima was quoted by a section of the online media saying he was also not aware of the move.

BP Tanzania is among some 40 oil marketing and trading companies in Tanzania with Addax, Mobil, Total, Oryx, Engen, GAPCO, GAPOIL and Oilcom Tanzania Limited being the market leaders.

In the seven southern African countries of Namibia, Botswana, Mozambique, South Africa, Tanzania, Malawi and Zambia, BP�s downstream infrastructure includes some 29 depots and terminals, and more than 800 retail sites. Apart from fuel and lubricants, BP Tanzania has also been selling liquefied petroleum gas (LPG) for over forty years. It used to monopolise the market until the entry of Agip after the construction of a refinery, Tipper, in 1964.

To date BP and Agip Tanzania Limited (which has since been sold to ADDAX and operates as Oryx Tanzania Limited) are the leading players. BP Tanzania has also an organisation that deals in solar energy under a project that covers upcountry regions. BP has also had a large stake in the transit petroleum business through the port of Dar es Salaam to Uganda, Rwanda, Burundi, DRC Congo, Zambia and Malawi.

BP Tanzania traces its roots back in 1900 when Smith MacKenzie started importing kerosene to the island of Zanzibar as Shell agent A bulk tank and kerosene-can filling plant was established in 1901, and for a while Zanzibar supplied oil to much of the east coast of Africa and the Indian Ocean islands. Shell expanded to the Mainland and with the formation of the Consolidated Petroleum Corporation in the late 1920s, BP acquired an interest in the company.

In 1970 the Government of Tanzania bought a 50 per cent interest in what was then Shell and BP Tanzania Limited. In March 1982, BP bought out Shell�s interests and the company became BP Tanzania Limited. Ends

chanzo : citizen
 
Is there more to this than meets the eye? First Shell withdrew from Tanzania, then Esso and Agip (or did these die altogether internationally as well? Is Oryx the new Agip in Tanzania?

GAPCO is limping.......

So effectively the only well-established international fuel company in TZ is Total?
 
Mh hawa jamaa walikuwa wanashindana na makampuni yanayokwepa kulipa kodi wakati wao wanalipa kodi zote naona wameona bongo longolongo
 
Mh hawa jamaa walikuwa wanashindana na makampuni yanayokwepa kulipa kodi wakati wao wanalipa kodi zote naona wameona bongo longolongo
Kwa uthibitisho wa hili utawasaidia sana TRA na pengine taifa kwa ujumla, lete data mkubwa.
 
So sad, ukweli ni kuwa mafuta ya BP yana viwango vikubwa kuliko makampuni mengi na ndo maana hata bei zao siku zotge zimekuwa juu na nadhani wamejikuta wanashindwa ushindana kwenye soko la Bongo ambako si TBS wala EWURA wako serious katika kupiga vita mafuta machafu.

Hofu yangi ni kuwa ytabaki haya makampuni yanayotuchanganyia mafuta ya taa kwenye dizeli na petroli sijui itakuwaje.
 
My favourite filling stations. Hawa jamaa kwa kweli wapo honest hawachanganyi mafuta yao kama makampuni mengine. Bei yao ilikuwa always juu kidogo sasa kwa kuwa wabongo tunapenda mterezo hata kama tuaishia kwenye maji machafu haya ndiyo matatizo yake. Mafuta yaliyochanganywa yanaua engine zetu yale bora hatununui acha BP waende zao. Kitu kingine wafanyakazi wao walizidi wizi sana sasa wameua kampuni warudi shamba kulima. Ntahamia pale Victoria sasa kwa mlokole
 
Mkulu wa nchi si juzi tu ameteua wakurugenzi wa board ya BP? Hawakumualifu kuwa BP wanafunga biashara yao; au wakina Salva walichelewa kupeleka taarifa!!Sintashangaa.
 
Mh hawa jamaa walikuwa wanashindana na makampuni yanayokwepa kulipa kodi wakati wao wanalipa kodi zote naona wameona bongo longolongo

Lakini kwa mujibu wa habari wamejiondoa Tanzania na nchi nyingine Namibia, Malawi, Zambia na Botswana. Na hata walikobaki ni nchi zinazozalisha Mafuta na Gesi ukiondoa tu Afrika kusini. Kuna suala la maslahi naona hapo kwa nchi walipojiondoa.

Lakini juzijuzi nilisoma Rais kuteua wajumbe wa BP wanne upande wa Tanzania, sasa hii inakuwaje?. Soma hii habari hapa chini

Rais Kikwete ateua wajumbe wapya wa bodi
Geofrey Nyang'oro
RAIS Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi za kampuni tanzu za (TIPER) na (BP) yaliyoko chini ya Wizara ya Nishati na Madini.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Nishati na Madini na kusainiwa na Katibu mkuu wa Wizara hiyo David Jairo, Yonah Killagane kuwa mwenyeikiti wa bodi ya TIPER na Philimon Felix kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya BP.

"Kulingana na sheria iliyounda TIPER, bodi ya kampuni hiyo inakuwa na wakurugenzi wanne, wawili kutoka Tanzania na wawili kutoka nchini Italia wakati bodi ya BP inaundwa na wakurugenzi nane huku wanne kati yao wakitokea Tanzania," ilieleza sehemu ya taarifa hiyo.

Aidha katika uteuzi huo Kikwete ameteua wakurugenzi wa bodi za makampuni hayo kwa upande wa Tanzania akiwemo Mbunge wa Jimbo la Kasulu, Daniel Nsanzugwako.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo uteuzi ulifanyika rasmi Januari 26 na wajumbe wote wa bado kutakiwa kuwa na kazi mara baada ya uteuzi huo.

Taarifa hiyo iliwataja wakurugenzi wawili walioteuliwa na Rais Kikwete kwa upande wa Tanzania ni Issare Maulid mjiolojia mkuu Idara ya Nishati na Petroli kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Samuel Msyangi Meneja wa Masoko wa (ATC).

Katika hatua nyingine Kikwete aliteua wakurugenzi wanne wa Bodi ya Kampuni ya BP, Bodi hiyo kisheria inaundwa na wakurugenzi nane huku wane wakitokea upande wa Tanzania.

Wakurugenzi walioteuliwa ni pamoja na mbunge wa Jimbo la Kasulu Mashariki, Daniel Nsanzugwako na kamishna wa Nishati na Petroli kutoka waziri ya nishati na madini, Bashir Mrindoko.

Wakurugenzi wengine ni Hamad Yusuph Masauni ambaye ni Mhandisi na Henry Mpande ambaye ni mfanyabiashara.
 
Ni ngumu saana kufanya clean business Bongo,wamechoka na longolongo, kuna ujanja ujanja saana unayofanywa na haya makampuni ya wahindi na warabu ni wakwepaji wazuri wakodi,ni wataalamu wa kuchanganya mafuta nk,sijui shell, Oryx,Total na wao watachapa mwendo???yetu macho, tusubirie longolongo za serekali, na hawa sio wana kampuni yao tanzu ya air BP????kazi ipo
 
Nafikiri kwa sasa ni muhimu kuwa na kifaa hiki ili kukabiliana na vituo fake vinavyochanganya mafuta ya Taa. MinRAE 2000 au MinRAE 3000. Yaani ukiisha calibrate Petrol, Kerosene, Diesel. Una nunua lita moja kwanza kwenye ki-dumu then unatest. Mfano ukinunua Petrol, una test uwepo wa kerosene then Diesel kwenye petrol Ukiona zero then unajaza Tank lako unaondoka.
http://www.ribble-enviro.co.uk/includes/files/products/3_1_MiniRAE%202000%20Ribble%20Enviro.pdf

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=2pGx2eL6IZ4"]YouTube- MiniRAE 3000 Calibration[/ame]
 
Kuna tetesi hawa jamaa juzi juzi tu wamewanyanganya Shell contract ya kusupply mafuta Geita Gold. Sasa tena wanaondoka ndio kusema itakuwaje?
 
This is confusing. Katikati ya mwaka jana niliona vituo vya BP vikifanyiwa ukarabati - ni kwamba wataendelea kuwaachia wenye vituo kutumia jina la BP au?

Pia, ninavyofahamu, BP ndio kampuni pekee inayosupply mafuta ya ndege kupitia Air BP. Sasa?
 
at least nami nimepata pa kumwagia yaliyo yangu moyoni......!Wakati naanza biashara nilipata ushauri toka kwa mafundi waliobobea na mafundi wa chini ya mwembe...wote wakimwaga PRAISES TO BP....bad enough nikaanza na BP KWA MWALIMU NYERERE(MIKOCHENI)......nikagundua wale watu si BP they just sell the BP price but OIL COM PRODUCTS......magari yangu yakaharibika....I went further to BP TANGI bovu...the same was the story........sasa kama alivyosema HOFSTEDE nipo pale VICTORIA PETROL STATION....frankly and honestly speaking I have never get malalamiko from my men kuhusu kuibiwa ama uchafu wa mafuta ama PUMP kufa.......trust me the guys are faithful.......!
 
So sad, ukweli ni kuwa mafuta ya BP yana viwango vikubwa kuliko makampuni mengi na ndo maana hata bei zao siku zotge zimekuwa juu na nadhani wamejikuta wanashindwa ushindana kwenye soko la Bongo ambako si TBS wala EWURA wako serious katika kupiga vita mafuta machafu.

Hofu yangi ni kuwa ytabaki haya makampuni yanayotuchanganyia mafuta ya taa kwenye dizeli na petroli sijui itakuwaje.

Goodbye to quality fuel, welcome to the diselokerosine fuel.
 
Back
Top Bottom