BOXING: Klitschko Vs Derek Chisora.

Round ya Pili imekwisha. So far watangazaji wanabashiri mpaka sasa Round mbili zote Kliscko anongoza kwa points
 
Round ya nne imekwisha ila kama kama round ya nne matokeo ramsi yanasema mpaka sasa Klistcho anaogoza . Kumbe siu hizi kila baada ya Rund nne result za majaji zinatangazwa.

Rund ya tano sasa
 
Mhh chisora damu .. thisis where boxing get bad . Round ya tisa sasa . Inaonean the only way ya huyu mzimbabwe wa UK kushindw ani kwa KO. kwa point anaachwa kila round.
 
Mhh chisora damu .. thisis where boxing get bad . Round ya tisa sasa . Inaonean the only way ya huyu mzimbabwe wa UK kushindw ani kwa KO. kwa point anaachwa kila round.

The big guy is beating the cr** out of him..Yeah may be a KO will win this for him.
 
katika round za mwamzo 10 marefa wamempa chiosra ushindi wa round moja kwa point nyingine zote ni Kilisko anaongoza.

Rouund ya 11 sasa.
 
Mhh chisora damu .. thisis where boxing get bad . Round ya tisa sasa . Inaonean the only way ya huyu mzimbabwe wa UK kushindw ani kwa KO. kwa point anaachwa kila round.

Chisora anasubiri ampige jamaa ngumu moja immalize ila hapati hiyo nafasi ingawa anapambana sana.. Hawa Klitchkos sio masikhara. Jamaa ana miaka 40 lakini bado yupo imara...
 
Chisora anasubiri ampige jamaa ngumu moja immalize ila hapati hiyo nafasi ingawa anapambana sana.. Hawa Klitchkos sio masikhara. Jamaa ana miaka 40 lakini bado yupo imara...
Hiyo height yao inawasaidia sana . Wanakuwa out of reach. wapinzani inabid wafanye kazi kubwa sana na wana risk kujiexpose kuwafikia kwa ngumi iliyoshiba. Kazi hiyo alikuwa anaweza kifaru Tyson.
 
Chisora anastahili kutandikwa maana hajawa na adabu hata kidogo anamtemea mtu mate, mara anamchapa kibao sasa zamu yake yeye anaadhibiwa ulingoni...
 
Mpambano umekwisha . Bora jamaa alimzaba kibao kabla ya mbampano Hili pambano linawz lisikumbukwe tena lakini kile kibao dah sitakisahu.... lol

Kutoka Munich ni wazi klisho kashinda.
 
Harafu Chisora sio mwanabondia ni mtu wa fujo fujo tu wacha apigwe faini nyingine ili atulie vzr!
 
Back
Top Bottom